👉Maria sarungi alizaliwa nchi ya Hungary Tarehe 16 December, mama yake (Veronica Marton ) kwa kuwa alikuwa raia Hungary pia kwa mujibu wa Sheria za nchi ya hiyo alipendekeza mwanae "Maria Sarungi" pia awe raia wa Hungary,
👉Maria Sarungi alipewa "uraia wa ukoo" ( Citizenship by Descent )...