marekani

  1. Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  2. Msaada kuhusu kujaza fomu za Bahati Nasibu ya kwenda kuishi Marekani

    Habari wakuu. Kuna mtu kanipa maelekezo kwamba kuna ofisi inasaidia watu kujaza form na kupigwa picha kwa akijili ya Bahati nasibu ya kwenda kuishi Marekani yaani Green card au Dv lottery inayochezeshwa kila mwaka. Sasa ninaomba kufahamu vigezo na masharti pamoja na nyaraka zinazotakiwa ili...
  3. Zijue kazi 16 za kishenzi ambazo zalipa mapesa Ulaya na Marekani na ambazo kwa waafrika waweza kuziiga na kuzifanya Tanzania.

    Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
  4. Ni kwa nini matajiri wengi wa Dunia wanatoka Marekani?

    Nimejaribu kupitia 'list' ya matajiri duniani, nikagundua wale ma-top wengi wanatoka Marekani. Ukiangalia ata wasanii wao au wafanya biashara kutoka huko kwao wanamiliki ndege n.k Sasa najiuliza, ni kitu gani kinacho wafanya wao kuwa na matajiri wengi. Ni kwamba wana sera nzuri za kuwawezesha...
  5. U

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi. Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
  6. Kuna Ndege ya mojakwamoja toka Airport ya Mwl Nyerere mpaka Marekani?

    Ni shirika gani lina ndege ya namna hiyo? Je budget ya 12 M inaweza tosha kwa ticket ya roundtrip (kwenda na kurudi) business class?
  7. Za ndani: Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya haziko tayari Ukraine kujiunga na NATO

    Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo. Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia (Washington), Arlington-Virginia na New York wakipishana milango ya White House, Makao maku ya Republicans...
  8. Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  9. TANZIA Muigizaji maarufu Ron Ely maarufu kama Tarzan amefariki duniani

    Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron Ely ambaye alijizolea umaarufu nkubwa baada ya kuigiza kama ‘Tarzan’ Amefariki dunia. Tarzan...
  10. Marekani: AI yamsababishia mtoto kujiua baada kushiriki mazungumzo ya kingono wakati akicheza mchezo wa Virtual 'Game of Thrones

    Hii akili mnemba au akili bandia( AI ) Imekuwa shida sasa ================ Mwanamke aitwae Megan Garcia wa Florida Nchini Marekani, amefungua kesi Mahakamani kuishtaki Kampuni moja ya California iliyotengeneza Chatbot ambayo amedai imesababisha kifo cha Mtoto wake kiume aitwae Sewell Setzer...
  11. B

    Waziri wa Marekani yamkumba ya vishindo vya wakoma, Hezbollah wakifanya yao Tell Aviv!

    Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel: Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu? https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM Ama kweli vishindo vya wakoma viliwakimbiza washami!
  12. Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

    Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka 2016 na urais wake wa awali alijaribu kuepuka kuonyesha upinzani wa wazi kwa haki za LGBT, hivi...
  13. SI KWELI Jimbo la Texas lilinunuliwa na Marekani kutoka Canada Mwaka 1920

    Kutoka kwa Mdau ===== Je, ni kweli Jimbo la Texas lilinunuliwa na Marekani kutoka Canada Mwaka 1920?
  14. M

    Ni zamu ya Ulaya kutawaliwa: Ulaya Magharibi ni koloni mamboleo la Marekani

    Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa marekani! Marekani imetengeneza mazingira ya hofu bandia ya kushambuliwa na Urusi!! Marekani...
  15. Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran

    Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao amethibitisha uhalali wa nyaraka hizo. Wameanza kutafuta mchawi,zingekua ni za Iran, Russia au China humu...
  16. Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

    Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men. Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
  17. Umoja wa Israel na Marekani uko sawa na ule wa Ujerumani na Austria 1914

    "History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa Ujerumani na mdogo alikuwa ni Austria. Austro-Hungary lilikuwa ni taifa linalotawaliwa na familia...
  18. K

    Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  19. Marekani yaridhishwa na mageuzi ya kiutendaji ya Serikali ya Rais Samia

    MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi. Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya...
  20. Kwanini nyumba za Marekani zinawekewa bendera nje?

    Wakuu mnijibu Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…