marekani

  1. JamiiForums Tanzania Waajiri marekani wawashtukia wahitimu wa vyuo vikuu-wanaamaarifa tu bila ujuzi

    https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  4. JamiiForums Tanzania Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

  5. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Hakujawahi kuwa na rafiki mkubwa wa Israel kutoka ikulu ya Marekani wa kumzidi Donald Trump

    Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel. Kwa upande mwengine, Biden alikuwa kinyuma pengine kuzidi marais wote, Kawalegezea vikwazo Iran...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

    Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini? Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa. Ni mingi...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani waliamua wasimchague Rais mwanamke kuwaongoza?

    Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
  8. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa ICC, Marekani yatoa angalizo kwa nchi yoyote rafiki itakayojaribu kuheshimu maamuzi ya ICC

    Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote rafiki wa Marekani, itakayojaribu kutekeleza amri ya mahakama ya ICC, Marekani itaiwekea vikwazo...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani ikimaliza Gaza na Lebanon, ni Waarabu gani watafuata kabla ya wengine?

    Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk? Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Marais wa Marekani Biden na Trump wapo hatarini kukamatwa na ICC kwa kushirikiana na Netanyahu

    Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
  11. JamiiForums Tanzania Waliojilipua na kuishi Marekani au wenye ndugu jiandaeni

    Kuanzia tarehe 20 January, 2025 waliojilipua na kuzamia Marekani au wenye ndugu zao huko wajiandae. Bosi mpya wa uhamiaji ameapa kuacha kiwewe na vilio kwa wengi. FUNGUA KIUNGO HIKI. --- What Trump 'border czar' Tom Homan has said he plans to do starting on Day 1 Last week, while appearing on...
  12. JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge anafanya kazi gani ya maana, mpaka magazeti anasoma akiwa Italy au Marekani?

    Huyu jamaa anatoa Wapi pesa. Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania. Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai. Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
  13. JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ama ngumu ya Urusi kumdhibiti Marekani

    Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika kumdhibiti Urusi. Kwangu mimi Nathan mtazamo kwa tazama hatua ambazo Urusi alichukua kumdhibiti...
  14. JamiiForums Tanzania Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yatilia shaka mahusiano ya Urusi na Houthi

    Urusi inaweza kutoa msaada kwa Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran huku wakihatarisha njia kuu za meli. Afisa mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema Moscow inashirikiana na waasi katika "kiwango kikubwa." Afisa huyo aliiambia BI kwamba usaidizi wa Urusi ungekuwa "wasiwasi mkubwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Marekani yafunga Ubalozi wake Ukraine

    Kuna mtu katolewa chambo --- Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga. Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Mji wa Centralia, Marekani umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo

    Waungwana kuna ukweli gani hapa kuwa Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania. Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo.
  18. JamiiForums Tanzania Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

    Wanaukumbi. Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…