marekani

  1. X

    China yaongeza kodi kwa 34% kwenye bidhaa za Marekani kufuatia Marekani kutangaza ongezeko la tariffs kwa mataifa mbalimbali duniani. The game is on!

    Baada ya uongozi wa Trump jana kutangaza kuongeza tariffs kwa mataifa mbalimbali dunia kutia ndani China, leo pia China nayo imetangaza kuongeza tariffs kwa 34% kwa bidhaa zote za Marekani. Mwanzoni China ilikuwa ikiongeza tariffs kwa baadhi tu ya bidhaa za Marekani ila tangazo la leo limegusa...
  2. Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  3. Marekani kutoza “ushuru sawa” kuleta changamoto kubwa kwa Afrika

    Marekani kutoza “ushuru sawa” kuleta changamoto kubwa kwa Afrika Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza sera mpya ya ushuru wa forodha, na kutoza viwango sawa vya ushuru wa forodha kulingana na Marekani inavyotozwa na nchi nyingine. Wachambuzi wengi wanaona kuwa sera hiyo inayoitwa...
  4. H

    Hivi demokrasia ni Marekani kuzivamia Iraq, Libya, Kongo, Afganstan, Vietinam, nk??

    Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni. Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi...
  5. Tariffs King, Trump kazichapa tarrifs nchi zote duniani mpaka Burundi na Israeli!

    Tarrif King, mwendawazimu Trump kaamua kuchapa dunia nzima tarrifs, mpaka Tanzania nasi tumo! Huyo mzee kachanganyikiwa anajiendea kama gari la mlevi.
  6. Bodyguard wa Lionel Messi apigwa marufuku kuingia sehemu ya kuchezea

    Lionel Messi’s bodyguard, Yassine Cheuko, has been banned by MLS from protecting the Argentine on the pitch due to new league safety regulations ❌✋ "I was in Europe for seven years working for Ligue 1 and the Champions League, and only six people invaded the pitch.'I arrived in the United...
  7. Marekani kuilazimisha Iran iachane na nyuklia wakijua wao na Israel wanazo.Si ndio kulazimisha ujinga huko.

    Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe. Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
  8. I

    Nigeria yakomalia kutumia dola ya Marekani kwa mauzo yake ya mafuta

    Sio kila nchi inaendana na ajenda ya BRICS ya kubadilisha dola ya Marekani na sarafu za ndani kwa mafuta. Kulipa malipo ya mafuta kwa fedha za ndani kunaleta hatari kubwa ambayo inaweza kuathiri hifadhi ya fedha za kigeni za nchi. Manunuzi ya mafuta yamekuwa yakilipwa kihistoria kwa dola ya...
  9. Marekani ina shida gani na Iran na Korea Kaskazini ?

    Ningependa kujuzwa na wajuvi wa mambo na wataalam wa siasa za kimataifa katika hili swali langu. Je, nchi ya Marekani ina shida gani na haya mataifa mawili Iran na Korea Kaskazini ? Kwa nini tawala mbalimbali za Marekani zinayatendea haya mataifa kama tishio kwa marekani ? Maoni yangu binafsi...
  10. Marekani yawaambia Houth" kama hamtaki tuwapige basi na nyinyi msitupige"

    Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata. Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi kushambulia meli na maeneo ya Israel baada ya Israel kuvunja makubaliano ya kusitisha vita. Mashambulizi...
  11. Urusi yaionya Marekani dhidi ya shambulizi lolote kwa Iran

    Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambapo Urusi amesema kitendo cha marekani kuishambulia Iran kitakua na matokea mabaya sana. Wachambuzi wa siasa za kimataifa mje hapa Kila mmoja Atoe mtazamo wake kuhusu Hali inayoendelea kwa sasa baina ya marekani na Iran. Je Urusi anaweza kuungana na Iran...
  12. I

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo. Momodou Taal, ambaye...
  13. Uchambuzi : Marekani na Israel inakuza na kulea Ugaidi na Magaidi

    Moja kwa moja... Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ; 1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao...
  14. X

    China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  15. Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  16. UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  17. Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  18. Baada ya Iran kupewa jambajamba na marekani kamanda wa jeshi la anga la Iran ajibu mapigo

    Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani: Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani...
  19. Wanajeshi 3 kati ya 4 wa Marekani wapatikana wakiwa wamekufa katika bwawa walimokuwa akifanya mazoezi nchini Lithuania

    Hii ni baada ya juhudi nzito ya Vikosi vya NATO,pamoja na jeshi la Marekani, Lithuania, na Poland, vilivyokuwa vikishirikiana kutafuta chombo cha M88A2 Hercules ya Marekani iliyozama ikiwa na wanajeshi wanne wa Brigedi ya 1 ya Kivita walipotea wakati wa mazoezi katika bwawa(swamp) nchini...
  20. Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

    Serikali ya Yemen imetangaza kuiangusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi. A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen: Houthi targeted E2 command and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…