marekani

  1. Mazungumzo ni njia pekee ya kutatua mgogoro wa kibiashara kati ya China na Marekani

    China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara. Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
  2. Marekani Kupeleka Nyambizi Mbili Kukabiliana na Urusi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
  3. Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  4. Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

    Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
  5. Elon Musk Aishabikia urusi katika ugomvi na Marekani.

    Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
  6. Iran kuacha kutumia GPS na teknolojia nyingine hatarishi zinazomilikiwa na Marekani na Israel

    Katika tathmini ya vita vya siku 12 kati yake dhidi ya Israel na Marekani,Iran imeamua kuachana na matumizi ya teknolojia ya GPS nyengine kadhaa ambazo imegundua zilichangia kuuliwa kwa makamanda wake wa kijeshi na wataalamu wa nyuklia. Badala yake Iran imeamua kugeukia teknolojia aina hiyo...
  7. Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

    Katika hatua ya kushangaza na inayozua maswali mengi, serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imewapa Warusi mradi wa majaribio wa uchimbaji wa uranium, Namtumbo - Ruvuma. Uranium ni moja ya rasilimali nyeti duniani, inayotumika katika uzalishaji wa nishati ya nyuklia lakini pia inaweza kuwa kiungo...
  8. Vladimir Putin asema Urusi ina kombora 'lisiloweza kuzuiwa' na Marekani

    Urusi inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani, kwa mujibu wa Rais Vladimir Putin. Amesema kombora "halipai juu sana, ni vigumu sana kulitambua likipita, lina uwezo wa kubeba kichwa cha nyuklia na linaweza kufika popote pale. Aidha, njia linayofuata...
  9. Ijue siri inayolifanya Taifa la Marekani kuwa juu kimaarifa

    Ni jambo lisilopingika kuwa Marekani ni taifa lililoendelea zaidi kiteknolojia, kisayansi, kiuchumi, na hata kijamii. Mataifa mengi yanaiangalia Marekani kama mfano wa mafanikio na ubunifu wa hali ya juu. Lakini swali ni hili: Je, ni nini kinachoifanya Marekani kupiga hatua kubwa kiasi hiki...
  10. R

    Mwanaume mwenye bastola awaua watu watatu na kujerui wawili, Nevada-Marekani

    Mtu mmoja mwenye bastola alifyatua risasi nje ya kasino ya Grand Sierra Resort mjini Reno, Nevada siku ya Jumatatu Julai 28,2025 saa 1:30 asubuhi kwa saa za Marekani. Tukio hilo lilitokea katika eneo la maegesho karibu na sehemu ya valet ambapo mtuhumiwa, mwanaume mtu mzima ambaye hakutajwa...
  11. Mwanamuziki wa Marekani Ciara apewa Uraia wa nchi ya Benin

    Wakuu, Mwanamuziki wa Marekani, Ciara, amekuwa mmoja wa watu wa kwanza maarufu kupata uraia wa Benin chini ya sheria mpya ya nchi hiyo ndogo ya Afrika Magharibi inayotoa uraia kwa watu wenye asili ya watumwa. Mshindi wa tuzo ya Grammy alipokea uraia huo katika hafla iliyofanyika Jumamosi...
  12. A

    KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  13. Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  14. CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  15. Ukraine yaiomba Marekani mifumo 10 mipya ya ulinzi wa anga ya Patriot, Zelensky asema

    Volodymyr Zelensky alisema kuwa Ukraine imeiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu ya aina hiyo. "Nimepokea uthibitisho rasmi kutoka Ujerumani watatupatia mifumo miwili, Norway mmoja...
  16. Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

    Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza .. Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra...
  17. Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

  18. Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  19. Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…