marekani

  1. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na Marekani (2)

    Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
  3. JamiiForums Tanzania Mbivu na Mbichi Uvumi wa Viza ya Kuingia Marekani

    Katika Pitapita zangu Nimekutana na Hii.... (Bofya Kusikiliza)'Uvumi kuhusu Viza ya Kuingia Nchini Marekani' Hawa Maafisa wa Marekani ' wamegegedua' Baadhi ya Uvumi juu ya Upatikanaji wa Viza ya kuingia kwa Trump ...na kufafanua njia sahihi ya kupata Viza hizo kwa wanaohitaji
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Marekani;Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee Jabin Ahmed Ruhii anasema malalamiko yake mtandaoni yalifanya jamii ijadiliijadili Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa mabilioni kama Richmond - Umeme wa dharura - Mipango ya utapeli yakwama Marekani

    Umeme wa dharura Waandishi Wetu Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Mipango ya utapeli yakwama Marekani Ngeleja mikononi mwa Bunge UTAPELI mithili ya ule wa kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond,ambao nusura uchote Sh bilioni 85 kupitia mpango wa Serikali wa umeme wa dharura...
  6. JamiiForums Tanzania Namkumbuka Marehemu Mwivano Kupaza aliyeuwawa na kaka yake Peter Kupaza

    Jamani samahanini sana wale wa miaka ya nyuma kuna jamaa km sikosei anatokea Mkoa wa Tanga alikuwa USA Wiscosin akamuagiza dada yake aende huko, akatembea naye (akambaka) walipoitoa mimba, Binti Mwivano akafariki (sijui aliuawa) Kaka mtu akamtenganisha na kwenda kumtupa mtoni, wapelelezi wa huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…