marekani

  1. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania si sawa na demokrasia ya China wala Marekani

    DEMOKRASIA YA TANZANIA SIYO YA CHINA WALA MAREKANI. Na Elius Ndabila 0768239284 Kufananisha demokrasia ya Tanzania na nchi za USA, UK, CHINA, KOREA ni kuikosea Tanzania. Tanzania ni nchi ambayo haifungamani na Ubepari Wala Ujamaa. Huwezi kusema Tanzania kunaminywa demokrasia kwa kurejea rejeo...
  2. JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  3. JamiiForums Tanzania Kushuka kwa influence ya Marekani kwenye muziki mzuri pamoja na movie

    Habari wana JF.. katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa. Kwanini???? TUKIANZA NA MUZIKI, Baada...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yatoa mafuta mapipa Milioni 30 ili kukabiliana na upandaji bei wa mafuta duniani

    Marekani imesema imetoa mapipa Milioni 30 ya mafuta kutoka kwenye hifadhi yake ya kimkakati ya mafuta huu ukiwa ni sehemu ya mpango wa muungano wa Nchi 30 ambazo zimekubaliana kutoa mapipa Milioni 60 ya mafuta kutoka kwenye hifadhi zake kote ulimwenguni ili kukabiliana na kupanda kwa bei ya...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Nimeamini ukitaka Marekani ikuheshimu, tengeneza silaha za nyuklia (silaha za maangamizi)

    Hakika nimeamini silaha za maangamizi (nyuklia)ni silaha zinazoogopwa dunia nzima matokeo yake endapo mataifa makubwa yakitumia nadhani ndio mwisho wa sayari hii ya dunia ,kwa kitisho alichokitoa urusi kwa silaha za nyuklia na mataifa ya magharibi ku-surrender ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Marekani: Wakati Marekani ikishinikiza wengine kuitenga Urusi kiuchumi, yenyewe haiko tayari kuitenga Urusi maeneo inayofaidika nayo

    Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti kuhusu hali ya haki za binadamu duniani inayotolewa na Marekani kila mwaka inaendelea kupoteza maana

    Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China wiki hii imetoa ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani kwa mwaka 2021. Ripoti hii kimsingi haina mambo mapya, kwani imeendelea kuonyesha usugu wa tatizo la haki za binadamu nchini Marekani, ambalo baadhi ya zinazojiita kuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

    Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia, akiishutumu Ikulu ya White House kuweka sera za kinafiki. Seneta huyo kasema Marekani yaingiza...
  9. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Marekani na NATO kuvamia nchi mbalimbali duniani

    Wakati vita ikishika kasi kule Ukraine dhidi ya Putin ,nashangaa baadhi ya watu kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii wakimuunga mkono kuivamia Ukraine na inasikitisha sana badala ya kukemea Wengi hutetea uvamizi wa USA na NATO kwenye mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Libya ,Iraq nk Ukweli...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden amteua Jaji mwanamke mweusi katika Mahakama ya Juu

    Rais wa Marekani, Joe Biden mnamo amemteua Jaji wa Shirikisho Ketanji Brown Jackson kuwa Jaji katika Mahakama Mkuu ya Marekani ambapo atakuwa mwanamke wa kwanza mweusi kujiunga katika mahakama hiyo. Iwapo ataidhinishwa na Bunge la Seneti, mwanasheria huyu mahiri mwenye umri wa miaka 51 atakuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Japo Urusi ni hatari akisaidiwa na Korea Kaskazini, China na Iran, ila kwa Kikosi cha Marekani kilichotua mpakani bado Marekani ni Mbabe wa dunia

    Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000. Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

    Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi. Nikianza na marekani: Whitehouse PRESIDENT BIDEN IMPOSES SEVERE COSTS ON RUSSIA FOR ITS INVASION OF UKRAINE FEBRUARY 22, 2022 Full blocking sanctions on two large Russian financial...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

    Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka...
  15. S

    JamiiForums Tanzania China yatangaza kuiunga mkono Russia, yailaumu Marekani kusababisha mzozo wa Ukraine, yasema Urusi imelazimika kujilinda

    China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi). Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema Marekani imekuwa ikituma silaha za kivita nchini Ukraine, ikatengeneza hali ya hofu na paniki (kwa Urusi...
  16. JamiiForums Tanzania Iran yarudisha chanjo za Corona 'zilizotengenezwa Marekani'

    Iran imerudisha dozi 820,000 za chanjo ya virusi vya corona iliyotolewa kama msaada na Poland kwa sababu ilitengenezwa Marekani. Televisheni ya taifa siku ya Jumatatu ilimnukuu Mohammad Hashemi, afisa wa wizara ya afya, akisema kwamba Poland ilitoa takriban dozi milioni moja za chanjo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yadai ina habari ya orodha wanaopaswa "kuuawa au kupelekwa kambini" Ukraine

    Marekani imeuonya Umoja wa Mataifa kuwa ina habari kwamba Urusi ina orodha ya raia wa Ukraine wanaopaswa kuuawa ama kuweka kwenye kambi za mateso iwapo uvamizi dhidi ya Ukraine utatokea. Haya ni kwa mujibu wa barua iliyotumwa kwa Mkuu wa Haki za Binaadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet...
  18. JamiiForums Tanzania Mfahamu Lucy Higgs Nichols

    Lucy Higgs Nichols ni mzaliwa katika utumwa huko Tennessee, lakini wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe alifanikiwa kutoroka na kupata njia yake hadi Kikosi cha 23 cha Wanachama cha Indiana ambacho kilikuwa kimepiga kambi karibu. Alikaa na jeshi na alifanya kazi kama muuguzi wakati wote wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! Rais Putin atoa kitisho, asema anaweza kutumia nguvu za kijeshi kwa Marekani na NATO kutokuzingatia mistari miekundu (red lines) za Urusi

    Jisomee mwenyewe hapa! Siku zote vita kubwa huanzaga kama utani vile na kama haitatokea vile, lakini mwisho wa siku huwa ni mlipuko mkubwa wa vita. Hatimaye Urusi inaelekea kuchoka kuoneshwa ubabe na Marekani kwa kutishiwa vikwazo. Anadai wakiendelea kupuuza red lines zake, "liwalo na liwe"...
  20. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji. Balozi amepost picha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…