mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ni bora kabisa vyama vingi vikazuiwa mara moja marufuku kwani ndiyo zao la vurugu na uvunjifu wa amani

    Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

    JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma. 2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli? 2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa...
  6. JamiiForums Tanzania Unaongea na mpenzi mara ngapi kwa siku ??

    Ndugu zangu,tupeane ushauri hapa, kwa siku unatakiwa kuongea na mpenzi wako mara ngapi ???
  7. JamiiForums Tanzania Mara hii lugha ya mama imebadilika hivi?

    Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake. Alianza lugha ya economic diplomacy au diplomasia ya uchumi. Aliongelea demokrasia, maridhiano na mambo...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

    Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi. High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana. Mungu nipe wepesi.
  11. JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi waliofanya mauaji ya Oktoba 29 wamepandishwa vyeo mara 2

    Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa mtizamo gani? Je, Serikali kwa mara nyingine inajaribu kuficha ukweli?

  15. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo, watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
  17. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kuliko kupata mateso mara mbili, si bora tukomae atoke!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa rasilimali fedha kutokana na mauaji aliyoyasababisha . Hii maana yake ni kwamba Taifa lijiandae kupitia magumu plus kwa sababu ya unjinga wa kikundi cha watu wachache kushindwa kufanya maamuzi yenye busara ...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Tunaishi Mara Moja?

    Wajumbe, Poleni na Yanayo Endelea katika nchi ya kusadikika. Hivi karibuni nimepata wasaa wakutafakari kidogo kuhusu maisha, ulimwengu na Kifo. Nikafikia Conclussion kua dhana ya kusema tuishi mara moja, ilikua sawa sawia, Just imagine uje uishi tena hapa nchini Malawi uendele kushuhudia...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA mkoa wa Morogoro yaunga mkono kufanyika kwa uchunguzi vifo vya Oktoba 29

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. . Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…