mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DC Gowele ataka uangalifu zoezi la fidia TSF-North Mara

    DC GOWELE ATAKA UANGALIFU ZOEZI LA FIDIA TSF-NORTH MARA TARIME Mkuu wa Wilaya ya Tarima mkoani Mara Mhe. Meja. Edward Gowele, amewaagiza viongozi wanaosimamia zoezi la uthamini wa fidia eneo la mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF-North Mara kuwa makini dhidi ya wananchi wanaojiingiza katika maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara amuasa Heche kukaa meza ya maridhiano ili Lissu atoke

    Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana. My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia mara kwa mara

    Habar za wikiend wanajamvi. Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu. Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa. Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto. Ndoto hii mara zote...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi Matongo na Nyangoto kuelimishwa kuhusu uthamini wa fidia North Mara

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia wataalamu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, imefanya kikao na Kampuni ya Barrick North Mara Gold Mine pamoja na viongozi wa Vijiji vya Matongo na Nyangoto, kwa lengo la kujadili maandalizi ya utoaji elimu kwa wananchi kuhusu zoezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    Utasemaje hayo yakitokea!? Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
  6. JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania Majibu kwa wanaohoji kuhusu actor Jason Statham kucheza uhusika mmoja mara kwa mara kwenye movies zake.

    Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka. Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni. Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara.

    Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara. Video na Channel Ten
  9. JamiiForums Tanzania Wadada wenye roho nzuri mara nyingi ndiyo wanaoongoza kwa kuumizwa

    Kuna wadada ambao ukiwa nao karibu, utagundua wana moyo wa tofauti. Ni watu wanaojali, wanasaidia pale wanapoweza na huwa hawapendi kumuona mwingine akiteseka. Lakini cha kushangaza, mara nyingi watu kama hawa ndio hujikuta wakiumizwa zaidi. Anaweza kuwa rafiki anayekusimamia wakati wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Sh 200 feki, nimekutana nazo mara kadhaa Dar, Serikali iangalie hii

    Hizi mia mbili zimekuwa nyingi na zinaonekana kama siyo halali, hapo kwenye clip kuna miambili original na feki, sasa feki ziko nyingi tunaomba serikali ifatilie hili maana zimezidi kuwa nyingi. Feki unazitambua zina mlio kama hela za zaman zile shilingi ,ukizipiganisha na za sasa utaitambua tu...
  11. JamiiForums Tanzania Mara: Walimu sita wa kidato cha Sita mbaroni kwa mauaji ya mwanafunzi wao

    Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita shuleni hapo. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi...
  12. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hunilinganisha kila mara na ex wake

    Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza. Nimewahi kumuuliza kama...
  13. JamiiForums Tanzania RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake. Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
  14. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunalaani Kusitishwa kwa Leseni ya Gazeti La Mwanahalisi, Hatua Hiyo Isitishwe Mara Moja

    ACT Wazalendo tunalaani kwa nguvu zote uamuzi wa Serikali kusitisha kwa miezi sita leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la MwanaHALISI, kuanzia tarehe 19 Agosti 2026. Serikali imesema hatua hiyo imetokana na madai ya kukiuka viwango vya usahihi, mizania na uthibitishaji wa taarifa...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa mwendokasi unakata fedha mara mbili kwenye kituo kimoja kimakosa

    Kuna changamoto kwenye kituo cha mwendokasi ambapo wakati wa ku scan inatoa notification haijafanikiwa ukirudia ku scan ikikubali wanakata fedha mara mbili. Leo nilikuwa naelekea kivukoni sasa nikaweka tsh 2000 ambapo cashier amedhibitisha hela iliwekwa kwenye card ,, sasa wakati nimeenda ku...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  17. JamiiForums Tanzania TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

    Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Klabu za Tanzania zinaenda kumlipa mchezaji wa ndani milion $ signing fee, Muhindi kashikwa pabaya. hana budi kucheua mapene.

    Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali. Hakuna mchezaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…