mapolisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miguel255

    Kwanini mapolisi wanakufa sana siku hizi?

    Hivi karibuni matukio ya mapolisi kufariki yamekuwa mengi sana tanzania. Sijui kama na nyie mmegundua au nimeona peke yangu tu. Yaani ukiingia mtandao wowote ule iwe instagram, x zamani twitter au hata facebook ndani ya dakika mbili lazima ukutane na post ya msiba wa aliyekuwa askari polisi au...
  2. Fbn

    Kuna mapolisi hapa TZ ni kama RSF ya sudani.

    Moderator unapenda kupangia uzi ila za CCM ofisi za abduli wakisema vipi uwezi kuzifuta naomba usibadilishe chochote. Nashukuru Mungu kunipa uhai mpaka sasa nilipo kwa wazungu wenzetu wanaacha vitabu waliyo yaona. Mfumo wa serikali ya Tanzania unatisha tena idara ya polisi. Vyeo vya polisi...
  3. sanalii

    Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  4. K

    Wabunge na Madiwani wa Mchongo na Familia za Mapolisi watakuwa na wakati mgumu na kujutia maisha yao

    Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile. Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
  5. Adverse Effect

    Je, kuna umuhimu au faida kufahamu mahali wanaishi watumishi/watendaji wa serikali kama mahakimu, majaji, askari magereza na mapolisi kwa wema tu?

    Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa. Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
  6. N

    Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  7. B-2 STEALTH BOMBER

    Je hili jambo lipo sawa. Na je angekua anafanya CHADEMA hivi si ingekua mapolisi washawakamata

    Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich. Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho. Afu...
  8. P

    Hivi ndivyo tutakavyowakimbia mapolisi siku ya maandamano

  9. Masai wa Town

    Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?

    Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana. Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
  10. Carlos The Jackal

    Mitihani ya darasa la nne nayo mnasimamia na polisi wenye bunduki?

    Bunduki hizi watoto wanazoona Kila siku kwenye TV? Zikiua watu? Vitoto vya darasa la Nne? Badala ya Kujibu mtihani kanabaki kuwaza mibunduki, pengine wanawaza watakufa? Acheni mazoea ya Kijinga, zama zimebadilika.
  11. kocha Nabi

    Jinsi matapeli wanavyolindwa na polisi, utapeli hautaisha

    Kumekuwa na kasumba kuwa kesi nyingi zikifika polisi na mtuhumiwa akapelekwa mahakamani basi walalamikaji wanakosekana na mtuhumiwa kuachiwa huru. Lakini tujiulize je ni kweli sheria inaamua haki? Kama polisi walithibitisha kweli mtuhumiwa ameletwa na raia na ametapeli kweli kwanini kusiwe na...
  12. wajingawatu

    Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

    Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000. Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
  13. Hemedy Jr Junior

    Hivi mapolisi siku ya mtihani uwaga wanalinda nini?

    Naomba kufahamu
  14. comte

    Lissu kama unawaita wenzako MAPOLISI badala ya Polisi usitegemee wakuheshimu

    Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi- hii siyo staha hata kidogo. Kwa kuwakosea staha anategemea nini kutoka kwao...
  15. Brain Kingdom

    Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  16. Suzy Elias

    Polisi 2000 wa Kenya wana matatizo ya kiakili

    Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno! Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi. ==== Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
  17. P

    Tuwatembelee Mapolisi wetu katika vituo vyao kuonesha Upendo

    Habarini ndugu zangu, Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao. Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu...
  18. Hismastersvoice

    Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

    Tangu kesi ya Mbowe ianze ilielezea kidogo sana matukio ya Moshi ambako ndiko tulitegemea milango ilifanyika, sana tulichoshuhudia mbege party, manunuzi ya vocha za simu na safari za hapa na pale. Wengi walitegemea hatua ya mwanzo wangeona zana za kutendea ugaidi kama vifaa vya kushambulia...
Back
Top Bottom