mapito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Ushuhuda wangu ukutie nguvu katika mapito yako

    USHUHUDA sehemu ya kwanza 01. mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo...
  2. Smartkahn

    Life lessons: Kwa muda uliokuwepo hapa duniani umejifunza nini Katika mapito yako!?

    Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk. Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani? Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
  3. Mshana Jr

    Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

    Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na...
  4. funaku

    Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi. Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
  5. K

    Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  6. hamis77

    "Kidron Valley: Bonde la Historia Takatifu na Mapito ya Kiroho"

    Kijito cha Kidron, kinachojulikana pia kama Bonde la Kidron (kwa Kiebrania: נַחַל קִדְרוֹן‎ Nahal Kidron; Kigiriki: Kedron; Kiarabu: Wadi al-Nar), ni eneo maarufu mashariki mwa mji wa kale wa Yerusalemu. Bonde hili linaelekeza kati ya Mlima wa Mizeituni na Mlima Moria—eneo ambalo Hekalu la...
  7. Natafuta Ajira

    Mapito ya career woman

    Kumekua na kasumba ya jamii kuamini mwanamke mwenye miaka 18-24 bado ni mdogo kuolewa. Katika umri huo anatakiwa kutengeneza career yake kwanza. Leo embu tuangazie mapito ya career woman. Anamaliza form 6 akiwa na miaka 18 au 19, hapa makadirio ya chini body count inasoma 3 au 4, wachache huwa...
  8. Waufukweni

    VIDEO: RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake

    RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake, ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika; "Maisha yako ya kila siku ni ndoto ya watu wengi sana mtaani. Nimefuatilia historia ya huyu kijana, si tu kwamba inaumiza bali ni uhalisia wa maisha ya vijana wengi, hasa...
  9. Kudo

    Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa... Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
  10. Jaji Mfawidhi

    Vijana wa 2000's namna wanahesabu mapito yao! Gen-Z

    Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea" Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani! SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo...
  11. GENTAMYCINE

    Je, ufanye nini kwa waliokuwa wakikudharau, wakikucheka, wakikusanifu na kufurahia mapito yako maishani pale mwenyezi mungu akikubariki kuwazidi?

    Je, 1. Uwalipizie Kisasi? 2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao? 3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi? 4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao? 5. Kama ni Wanawake basi Ulale nao ( Uwakaze ) bila Huruma? 6. Uwatambie kwa Kuwakera 7. Unyamaze, utumie muda wako mwingi...
  12. The Dictator

    Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  13. Jr Simeo

    Umuhimu wa kuthamini mapito yako

    Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
  14. P

    Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
Back
Top Bottom