mapinduzi

  1. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger yaisababishia hasara kubwa kampuni ya uchimbaji URANIUM kutoka Ufaransa

    KAMPUNI ya Orano kutoka nchini Ufaransa imepata hasara kubwa kulingana na taarifa yake ya fedha ya nusu mwaka ( Januari hadi Juni 2024) iliyochapishwa na Yahoo Finance. Taarifa hiyo inaonesha kwamba kampuni hiyo ilipata faida ya Euro Milioni 12 pekee ikilinganishwa na faida ya Euro Milioni 260...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi bado wanakiamini Chama cha Mapinduzi - CCM

    Watanzania wengi bado wanakiamini chama cha Mapinduzi CCM. Wanaamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kusimamia amani na utulivu wa nchi yetu. Hakuna chama chochote cha upinzani chenye uwezo huo. Nami naungana na watanzania wenzangu kukipa kura chama imara ccm, kesho tarehe 27/11/...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, chagua Chama cha Mapinduzi (CCM)

    UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 , CHAGUA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) #tumetekelezakaziiendelee #ChaguaCCM #shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
  6. JamiiForums Tanzania Fursa Mpya kwa Tanzania! Starlink Kuleta Mapinduzi ya Intaneti kwa Bei Nafuu na Ubora wa Juu

    Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania wote, na ni nafasi yetu kutoa maoni yetu chanya kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuunga...
  7. JamiiForums Tanzania Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

    Wanaukumbi. Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran: ========================= 🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran: "The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  9. JamiiForums Tanzania A culture of incompetence rooted in the rigid doctrines of Chama Cha Mapinduzi (CCM) and disabled Policies.

    To be seen by all Cabinet Members As Tanzania stands on the threshold of potential greatness, we face a dire, persistent obstacle: the misdirected energies of our leaders. Busy with needless, performative engagements, our leaders repeatedly squander their attention on deceitful trips and...
  10. JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh 678.6 bilioni wa TPA kuleta mapinduzi ya upakuaji mafuta katika bandari ya Dar es salaam

    Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
  11. JamiiForums Tanzania Bandari ya uvuvi ya Kilwa kuleta mapinduzi ya sekta ya uvuvi Tanzania

    Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
  12. JamiiForums Tanzania Hasara za Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)

    Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya. 1. Kutengwa Kijamii Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Benin: Watatu, akiwemo Waziri wa Zamani wakamatwa kwa njama za mapinduzi

    Watu Watatu, wakiwemo Waziri wa zamani na Mkuu wa Ulinzi wa Rais Patrice Talon, wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi, huku uchunguzi mkali ukiendelea ili kuwabaini Wahusika wengine Mwendesha Mashtaka wa Serikali aliwaambia Waandishi wa Habari, Waziri wa zamani wa Michezo, Oswald Homeky...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

    Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa. Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna Mpasuko ndani ya Upinzani, hii ni Kwakuwa tuliamini upande wa Mbowe na Lissu hazipatani, Lakin nikakaa...
  15. JamiiForums Tanzania Ujio wa Robotaxi utaleta mapinduzi Hasi kwenye sekta ya Ajira za Madereva!

    Wakuu. Teknolojia kwenye sekta ya magari inazidi kukua kwa kasi sana. Ni miaka 10 tu iliyopita gari likiwa na Bluetooth, reverse camera, DVD, au cruise control ilikua vitu fancy, ila sasa hivi sio vitu vya kujivunia tena. Magari yamekua na Teknolojia kubwa sana kumpa comfort dereva na...
  16. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa la nne Shule ya Mapinduzi adaiwa kubakwa Mbeya

    Hii hali sijui inaisha lini huzuni sana sana Mtoto wa darasa la nne amebakwa na kijana mmoja akielezea kama una mtoto wa kike unaliaa Mtoto anasema alichukuliwa akapelekwa nyumba moja alipoanza kulizia kuna nn kijana alimtisha ukisema kwa watu nakunyonga Kijaana akaanza kufanya anayotaka...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ndiyo iliyoiharibia uchumi na amani Zanzibar

    Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma. Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Elimu ya Nchimbi na hadhi ya Chama cha Mapinduzi mdahalo wake ulitakiwa kusimamiwa na maprofesaa na wanaofanya mdahalo wawe PhD holders

    Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama vya kabatini wenye maneno ya umbea na ya kutunga hongera Sana Dr Nchimbi kwa kuwagomea hawa...
  20. JamiiForums Tanzania Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…