mapenzi

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kwa namna gani unamuacha mpenzi wako wa muda mrefu? Unachukua hatua gani akiwa anaongea vibaya kuhusu wewe?

    Habari zenu wana JamiiForums. Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali, Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulichukua hatua gani ulipoachwa ghafla?

    Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa. Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno kama paka shume aliyebalehe juzi mpaka unasema Mungu anipe nini mimi? Ghafla bin vuu katika hali...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzetu huko Mbele huwa wanahamasisha mashabiki waende uwanjani au mashabiki wana mapenzi na timu zao hata zikishuka Daraja?

    Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba mashabaki wenye timu yao lazima wahamasishwe, gari izunguke mtaani watu wakikata mauno kwenye gari...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mahusiano ya mapenzi niliyopitia mwaka 2024

    Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali Mwanamke wa kwanza; Huyu dada nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka 2023 nilimpenda sana na nilikua tayari...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najisikia raha nikiitwa mume wangu! Kuoa raha

    Mi ni mwanandoa mpyaaaaa Aisee mwanamke akiniita mme wangu huwa najisikia amani ya nafsi. Nyie oweni shauri yenu
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunakaribia kuachana ila naogopa sana itakuwaje kuhusu watoto wangu

    Dah! Acheni tu itokee maana hiki kikombe lazima tu nikinywe hakuna namna japo Bado Nina nafasi ya kubadili maamuzi Kila kitu kinapande mbili yaweza kuwa pande Moja nzuri na nyingine mbaya au iwe nzuri zote au mbaya zote. Huyu niliyenaye kwa sasa mm mapenzi kwake sifurahii Mara anipangie mara...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

    Wasalam wakuu. Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri. Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

    Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine.. 4 fundamental of life i. Money and Power ii. Sex iii. Food and drink iv. Umaarufu (fame) Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala. ............ Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single. 3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

    SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia...
  13. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake watakuwa wakifanya mapenzi zaidi na ROBOTI kuliko Wanaume kuanzia 2025

    Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume. WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti. Dk...
  14. JamiiForums Tanzania FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli.

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

    Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda Sana na bado na mpenda Sana ila nimekuja kuomba ushari hapa. Ipo hivi huyu mwanamke nilikua namhudumia kila kitu ila ikafika mahali akaanza kunijibu dharau na kuniambia hataki mahusiano na mwanaume yoyote "labda atokee mwenye pesa nyingi ambae hata nikimuomba...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wa mapenzi na moyo?

    Kuna mdau mmoja hapa ameniuliza swali, nami nikaona niwashilikishe wana JF. "Je mapenzi/upendo yanaifadhiwa moyoni au ubongoni/akilini" Upi mtazamo wako?
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume uliyevurugwa na mapenzi

    Habari rafiki, kama kuna mwanaume anaevurugwa au kuteswa na mapenzi naomba usipate stress, njoo tuwe marafiki usilewe kupita kiasi utapata stress utadata buree, njoo rafiki tubadilishane mawazo popote ulipo tutakuwa tunawasiliana, mm nipo Dodoma kw sasa. Nitakupenda kama rafiki yangu na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

    WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali! Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings. Mood swings...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuota nafanya mapenzi ni ishara ya nini?

    Maana sio kawaida Leo asubuhi ndani ya masaa 4 yaani kuanzia saa 11 asubuhi mpaka saa 2 asubuhi nimeota mara 2 nafanya mapenzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…