Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi.
Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu.
Hata hivyo, napenda kutoa...
Mapendekezo katiba mpya: Lazima kuwe na Bunge la Senate kama Kenya na USA.
Idadi ya wabunge ipunguzwe na iendane na idadi ya watu. Kila mkoa uwe na maseta wawili tu. Senate vilevile itasaidia kwa wale watakao laumu wana wabunge wachache.
Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na utegemezi mkubwa wa makampuni ya nje katika kutekeleza miradi ya miundombinu.
Pendekezo hili...
1. Tume ya Nyalali
2. Tume ya Bomani ya Ardhi
3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba
4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga
5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga
6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani
Ongeza nyingine hapo chini
Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo
1. Utangulizi
Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma.
Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikitaka kuundwa kwa tume huru ya kiraia kuchunguza matukio ya utekaji na kupotea kwa watu, pamoja na serikali kusaini mikataba ya kimataifa ya kulinda watu dhidi ya kupotezwa kwa kulazimishwa...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi.
Pia Soma
GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa
GE2025 -...
Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
Habari za muda huu
Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi)
1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau
2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na...
Kutokana na matokeo Mazuri Nchi iliyopata , ni vizuri kila kitu cha nchi hii Kipewe Jina lake kabla ya maneno Mengine Mbele yake.
Mfano Yahaya Tanzanite, Yahaya Gold, Yahaya Katiba, Yahaya Ali Hassan Mwinyi Road, Yahaya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo
Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu...
Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025:
Mazingira ya hotuba
Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa, katikati ya mazingira yafuatayo:
Msimu wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na mwadiwani inakaribia...
MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU
Tarehe:
25 - 27 Machi 2025
Wataalamu:
1. Dr Zabron Kengera, UDSM
2. Dr George Kahangwa, UDSM
3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates
Washiriki...
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutana na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na kuwasilisha mapendekezo ya maboresho yanayoigusa moja kwa moja Wizara ya Mambo ya Nje na wadau wake katika kikao kazi kilichofanyika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini...
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao.
Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia, na kustawisha utaratibu wa pande nyingi, ili kukabiliana vizuri na...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo:
1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.