maoni yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni nini hatima ya Tanganyika kwa siku za usoni? Toa maoni yako

    (1)Unazani maandamano yatafanikiwa tena au ni heri kupambana kwa njia nyingine (3)Inaenda kutawaliwa kwa mkono wa chuma (2) Amani yetu tuliyojivunia inatoweka na unaenda kutokea uasi ndani ya inchi wa kuipindua serikari baada ya sanduku la kura kuthibitiwa na watawala? Endelea na wewe
  2. Carlos The Jackal

    Kwahiyo Mzee Butiku , Kwa Maoni yako unayohisi yana Busara, nini Hatima ya Watanzania kuanzia 2026 ikiwa Samia ataendelea?.

    Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?. Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
  3. Magema Jr

    GE2025 Ukipewa nafasi kushauri Jeshi la Polisi, Serikali na Rais, nini yatakuwa maoni yako?

    Naamini washauri au watu wa karibu na wahusika kwa maana ya serikali, na IGP, wanapita hapa, kwahiyo toa ushauri juu ya hiki kinachoendelea nchini ikiwemo utekaji, watu kupigwa, kuenguliwa kinyemela kwenye uchaguzi n.k Binafsi maoni yangu; ingekuwa jambo la heshima kama Rais ATAJIUZULU🙏🙏 Ni...
  4. R

    Polepole naomba maoni yako kuhusu uchangiaji wa kampeni CCM

    Sitaki nikuinfluence, toa maoni yako.
  5. W

    Kwa maoni yako, nini chanzo kikubwa cha hate speech mtandaoni?

  6. Davidmmarista

    Kuajiriwa vs Kujiajiri kipi Bora? Mdau karibu utupe maoni yako

    Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
  7. R

    Polepole tunaomba maoni yako kwa kinachofanyika leo

    Huoni wamekupiga chenga ya mwili? Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It seems wameona machawa yao wametupwa wanatafuta namna ya kuya salvage1 Tunaomba maoni yako....
  8. Afisa_Nkai

    Yapi ni maoni yako kwenye mjadala huu!

    wakuu Niko salama sijui ninyi huko! Huu ni mjadala unaoendelea huko je ni yapi maoni yako
  9. A

    Ninatafuta gari ya kufanya Tax Mtandao (Bolt)

    Habari za mida huu Nipo mbele yenu kuomba Msaada wa kupata Gari ya kufanyia tax mtandao (Bolt) Elimu yangu Chuo kikuu Nina account ya bolt na uzoefu wa miezi 6 Kwasasa natafuta gari yangu binafsi ili niweze kufanya kazi fulltime Kwa maelezo zaid 0752837183
  10. DELETED ACCOUNT

    Sikiliza maoni ya huyu mwamba kuhusu derby ya kariakoo na siasa zetu halafu utoe maoni yako

    Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu. Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo. Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
  11. second chance

    Nipe maoni yako mdau, natokaje hapo na hawa NIDA

    Habari za wakati huku wanajamvi wa jamii forum. Natumai mu wazima wa AFYA teletele. Napenda kutumia fursa hii kuwasilisha dukuduku langu kuhusu masuala ya USAJILI wa huduma mbalimbali katika kizazi hiki. Tunaishukuru serikali imeleta USAJILI kupitia NIDA na kupitia NIDA, watu wafanye USAJILI wa...
  12. KIXI

    Tazama hii video: Mtoto anampiga mama kisa analazimishwa kusoma — Maoni yenu ni yapi?"

    Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na akikushika anapiga hata mbanio wa sufuria ya ugali unashika adabu chapu
  13. Nomadiq

    Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

    Kwema wakuu Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Back
Top Bottom