maombi ya ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maombi ya Ajira, Vyuo na Mikopo

    HII NDIO LIST YA HUDUMA UTAKAZOPATA KWETU HUDUMA KATIKA MASUALA YA AJIRA 1. KUJISAJILI AJIRAPORTAL 2. KUJISAJILI TAESA 3. KUJISAJILI KATIKA BANK PORTALS 4. KUANDAA APPLICATION LETTER 5. KU EDIT DOCUMENT MBALIMBALI 6. AVN 7. TRANSCRIPT HUDUMA KATIKA MASUALA YA VYETI 1. KUPATA CHETI CHA...
  2. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Ajira portal wana cha kujifunza kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa magereza.

    Habari za asubuhi ndugu. Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu. Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo hapa

    Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
  5. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kutuma maombi ya Ajira Bugando Medical Centre, March 2025

    Juzi tarehe 06 march 2025, Bugando medical centre walitangaza nafasi za ajira kwa kada mbali mbali za afya ila tangazo halikuainisha maombi yatumwe kwa njia gani yani mfano kwa online portal,Email au kwa kupeleka barua posta. Nikiingia Career portal yao haifanyi kazi ni kama dead link. Kwa...
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania HR wa Tanzania mna mengi yakujifunza kwa huu ujumbe

    Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi. Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa "Hi XXX "Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup! While we won't be moving forward with your application this time, we want...
  7. MubengaJr

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa kutuma maombi ya ajira kwa nafasi za kazi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA))

    Kwa muda takribani wiki sasa, nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo wa ajira wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) bila mafanikio. Niwaombe Mamlaka watoke hadharani na kutoa tamko kuhusu changamoto hizi na mwelekeo (Way forward). Kuna wakati napata hisia mbaya kwamba tayari...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
  10. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  11. monotheist

    JamiiForums Tanzania Nataka niombe kazi wakati bado nipo kwenye ajira nyingine

    Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20. Miongoni mwa vitu ambavyo walikua wanatusisitiza sana hawataki watu ambao wapo kwenye ajira na kama umeacha au...
  12. Mussa Ramadhani Mussa

    JamiiForums Tanzania Je, Affidavit inatosha katika maombi ya ajira kwa wenye changamoto ya majina mawili?

    Kwa mfano jina langu katika NIDA ni Mussa Ramadhani Mussa ila kwenye vyeti vyangu vya taaluma ni Mussa Ramadhani. Nimesikia kuwa naweza kupata affidavit na nikafanikiwa. Je, kuna ukweli katika hili? Naomba ufafanuzi kwa yeyote ajuaye wakuu. Nawasilisha!🙏
  13. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi, unapomuambia muomba ajira akahakiki vyeti kwa mwanasheria maana yake hizo taasisi haziaminiki?

    Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi. Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki? Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo...
Back
Top Bottom