manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Babati: Kijana auwawa kikatili na mwili wake watupwa dampo

    Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo. Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu Hata hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  3. JamiiForums Tanzania KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  4. JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga awatembelea wanafunzi akiwa ametinga sare za shule

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh Queen sendiga akiwa amevalia uniform za wanafunzi wa shule ya wasichana ya Manyara alipoenda kuwatembelea mapema leo.
  5. J

    JamiiForums Tanzania RC Sendiga avaa sare za shule akiwakaribisha wanafunzi kwenye shule mpya

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Queen Sendiga amewakaribisha rasmi wanafunzi 110 wanaoanza kidato cha tano katika Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Manyara iliyopo mjini Babati. Katika ukaribisho huo DC Sendiga amevaa sare za shule kama wavaavyo wanafunzi hao kwa lengo la kuwapa morali ya...
  6. JamiiForums Tanzania RC Manyara, Queen Sendiga Akabidhiwa Nyumba 74 za Waathirika wa Maporomoko ya Matope

    Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ujenzi umekamilika kwa asilimia mia moja (100%) ambao ulianza machi 18 2024 chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Bilioni 3.5 Kiteto Kukamilisha Huduma za Afya Wilaya ya Kiteto, Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  8. JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara. Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
  9. JamiiForums Tanzania Manyara Tayari Kupokea Wanafunzi Kutoka Pande Zote za Nchi

    MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara. "wazazi wote ambao watoto wenu...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia Hii Ilianza Kama Utani. Manyara Wakapotezea, Mafia Wakapotezea, Sasa Simiyu Nayo Wanataka Kupotezea

    Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi. Huko...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  13. JamiiForums Tanzania TFF, June 2 Mtaleta maafa Manyara.

    Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga. Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya tukio (probable consequences) la fainali kubwa kama hiyo kufanyika kwenye uwanja mdogo kama ule na...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Sillo akabidhi magunia 10 ya mahidi wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
  15. JamiiForums Tanzania Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  17. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Arusha na Manyara inaongoza kwa Ukeketaji Tanzania

    Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa mingine Dodoma (18%), Iringa (12%), Morogoro (10%), Kilimanjaro (9%), Njombe (7%) Pwani (5%) na...
  18. JamiiForums Tanzania Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara . Kama kawaida Mimi Mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri . Usiondoke JF =========== Tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Kuibukia Manyara. Ataongoza Maandamano ya Amani

    Taarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko . Katika kufanikisha jambo hilo Takatifu Lissu atasaidiwa na Mtu wa Mungu Godbless...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…