mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameharibu akili za vijana wa Tanzania, Sasa kila linalosemwa na kiongozi wa serikali wanalipokea negative

    Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana. Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi kuendelea leo Januari 28, Kisutu

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Soma: Kesi ya Mange Kimambi ya utakatishaji wa fedha kuunguruma leo Desemba 4, Kisutu Mange, anayeishi Marekani, ameshitakiwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi kuendelea leo Januari 28, Kisutu

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Soma pia PostGE2025 - Serikali ya Tanzania yamfungulia Mange Kimambi kesi ya Uhujumu Uchumi. Adaiwa kutakatisha Tsh. Milioni 138 Mange...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Watanzania mkataeni Mzee Butiku kwa nguvu zote, anatumika na ni nyoka, huwa anakutana na Samia Ikulu mara kwa mara

    Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano yanaweza kudhibitiwa, wakasahau ICC wataenda wao na si Mange

    Yaani hawa watu kwa ujinga na ulevi wa madaraka, walitaka kumuonyesha Mange kuwa maandamano anayoyahamasisha wanaweza kuyazima na kwamba serikali haiwezi kupinduliwa kwa njia ya maandamano. Hata hivyo, walisahau kuwa Mange hatasimama katika Mahakama ya ICC kujibu tuhuma yoyote ya mauji bali ni...
  6. JamiiForums Tanzania NAROGA : Account za mange kimambi zirudishwe ...

    NAROGA : Account za mange kimambi zirudishwe ... Ili ndio zoez langu la kwanza baada ya kutoka ujinini
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa JWTZ ifanye manuva kama ya Marekani kwa Mange Kimambi

    Waende marekani kimya kimya wamnyakue Mange kimambi ile shwaaa waje nae wamkabidhi kwa Mwana sheria mkuu. Uzi tayari
  8. JamiiForums Tanzania Twendeni X (Twitter) tuungane na Mange kumuomba Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania

    Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa. Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa. Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani. Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa...
  9. JamiiForums Tanzania Masih Alinejad ni Mange Kimambi wa Iran

    My people, Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi Marekani,anahoji kama wanawatendea ubaya wananchi wa nchi hiyo basi na familia zao nao zirudi Iran...
  10. JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

    Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia . Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
  11. JamiiForums Tanzania Hatari, ni msada Gani anaosema Mange Kimambi kuwa unakuja?

    MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani. Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29. Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

    Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa. Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

    Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

    1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Mange kachukua pesa za Samia?

    Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas? Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe Tena ndani? Hapana me nakataa maandamano yaendelee kesho mpaka kueleweke Na kila msaliti yeyote...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbana Mange kumepunguza sana kasi ya maandamano

    Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano. Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu...
  18. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kiko wapi!

    Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
  19. JamiiForums Tanzania Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…