mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  2. Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

    Habari aliyoitoa mange mda huu kwamba tesha yupo uraiani tena nje ya nchi halafu mange anasema anayajua mengi kuhusu tesha ila anasema hawezi kuongea Sana ataharibu mambo
  3. Mange Kimambi relentless efforts to promote Democracy in Tanzania

    The sun over Dar es Salaam was a relentless, burning eye, but it was nothing compared to the fire in Mange Kimambi’s heart. In a nation where the political landscape was often painted in monochrome, she had chosen to wield a brush of every color, and her canvas was the airwaves. It did not...
  4. S

    Hili la Mange Kimambi kuwahusisha Wazanzibari na mauaji ya bara limenihuzinisha sana

    Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu. Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
  5. Mange Kimambi kukamatwa hapana, lipo kubwa zaidi ya kukamatwa

    Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua! Hilo la kumkamata hadharani ni Big no, haitawezekana! Kilichonyuma ya Pazia ni kikubwa zaidi! Mpango ni kummaliza kwa njia yoyote iwe...
  6. Kwako Mange

    Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako? Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza? Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya...
  7. FULL DEAL: Umeelewa Kauli ya Mwanasheria Mkuu, Kumkamata Mange Kimambi?

    Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano. Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA. Moja kwa moja kwenye point; 1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi...
  8. PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

    Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
  9. N

    Ujumbe maalum kwa Watanzania wanaomsikiliza na kumuamini Mange Kimambi

    Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious? Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na wamemhahakikishia lipo kuunga maandamano, lipo na nyie asilimia 100% haya mmetoka kama misukule jeshi...
  10. B

    Mange Kimambi: FBI wamenitaarifu Serikali ya Tanzania imewapa kazi Mexican cartel waniue

    Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI. Yamesemwa leo na Mange mwenyewe. Mara ya kwanza alitahadharishwa hayo wiki mbili zilizopita wakati akipanda ndege...
  11. N

    Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu...
  12. Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  13. Mange Kimambi: Wasimamizi wa Uchaguzi Walipewa Maelekezo Wamtiki "Samia" Katika Karatasi za Kupigia Kura (Video za Ushahidi Zipo)

    Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
  14. Masikini Mange Kimambi

    Namuhurumia sana Mange Kimambi kwa aibu atakayopata kutoka kwa Watanzania. Binafsi natamani maandamano ya amani yawepo reforms zifanyike kusudi huko kupiga kura kuwe na maana kuliko maigizo haya ya kila siku ya kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana tayari. Kwa nguvu alizotumia Mange...
  15. N

    GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

    Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope . NAJIULIZA YAFUATAYO? 1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
  16. Kuna Mwenye swali kwa dada wa taifa Mange Kimambi? Je wajua mtandao utazimwa kuanzia sasa umejipangaje kukabiliana na hali hiyo?

    Naitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo. Mwenye...
  17. GE2025 Mange Kimambi anaweza kuwa ni "Double agent" anayewasaidia anaowasema 'vibaya' kila siku

    Wiki kadhaa zilizopita niliwataja Mange Kimambi, Humphrey Polepole na Luhaga Mpina kama watu ambao sijaamini dhamira ya maneno na matendo yao ya kisiasa. Haya maneno niliyasema siku kadhaa kabla taarifa za kupotea kwa Polepole hazijatoka. Niliwahi kusema master plan ya siasa za CCM ni kuwa...
  18. R

    GE2025 Sheikh: Nawasomea dua Mange Kimambi na Recho na hamtowasikia wakimtukana tena Rais Samia

    Wakuu, Sheikh Sharifu Firdaus Al qadiri anatema cheche, lakini ajabu ameshindwa kukemea namna ambavyo Serikali imekaa kimya kwa Matukio maovu ya utekaji na watu kuuliwa pamoja na ufisadi unaofichuliwa na wakina Mange dhidi ya Serikali ya huyo Samia, yeye amekazia matusi na Maadii ya Kitanzania...
  19. Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

  20. Hatimaye Shirika la Upelelezi Marekani FBI laanza kufuatilia kwanini raia wake Mange Kimambi usalama wake uko hatarini

    Wadau kama mnavyojua FBI(Federal Bureau of Investigation) ni shirika kubwa la usalama wa ndani na upelelezi wa uhalifu lenye mamlaka ya kufanya kazi za kijasusi ndani ya nchi ya Marekani. Hatimaye wamenusa harufu ambayo sio nzuri kwa raia wake na activist mkubwa Mange Kimambi ambaye amekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…