Jana Mange kimambi alitoa hamasa ya Watu kuandamana 09/12, na kusisitiza maandamano ya amani.
Binafsi napiga vikali hoja hiyo, maandamano ya MO29, yame trend Dunia nzima, na kumchafua vibaya sana Samia kutokana na civil disobedience.
Kitendo Cha raia kuchoma vituo vya kupigia kura, magari...