maneno ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wasira ataka WANA CCM wakutane, wasiingie mkenge wa maneno ya Mtandaoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka kupotoswa na taarifa zisizo na ukweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza leo...
  2. JamiiForums Tanzania Amenaswa na maneno ya kinywa chake mwenyewe; Asema - Zanzibar hakuna "aliyenyukuliwa". Watanganyika "Tulinyukuliwa" kwelikweli...!!

    ================= Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake... Na hii ndiyo maana yake... NYUKUA: Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali: Mnyambuliko wa Maana na...
  3. JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi:-Endapo kama wewe upo fb na uliwahi kutoa maneno ya kichochezi jiandae!

    Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo wako!,ubaoni / #Uzito wa ulichoandika kitaelekeza aina ya kifurushi unachostahili kupewa! Kwa kosa...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania mnasahau haraka sana. Hebu tuangalie maneno ya Kitila Mkumbo, miaka michache tu nyuma

  6. JamiiForums Tanzania Neno “Pambaneni” ni Miongoni mwa Maneno ya Kihuni

    Neno pambana ni neno la mtaani zaidi ambalo sio rasmi hutumika na wahuni kuashiri msirudi nyuma na usikate tamaa Lakini je watanzania wapambane na Nani kupata katiba mpya ? nilidhan PhD ingeeleza na hatua za kupambana Kwamba head of the state anataka katiba mpya , hivyo watu wapambane...
  7. R

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Profesa Mussa Assad: Sikusema Bunge ni dhaifu, hayo yalikuwa maneno ya Ndugai

    Mwandishi: Nikikurudisha nyuma Profesa, 2018. Tupo kwenye uhuru. Unahisi maneno yako uliyotoa kwamba, "Bunge ni dhaifu," tungeweza kurudisha labda muda 2018, ungeyafuta yale maneno au ungesimama na msimamo wako wa Bunge ni dhaifu kipindi kile? Professor Mussa Assad: Unajua, labda tukubaliane...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi na CCM achaneni kuwasingizia Chadema, angalieni muungano unavunjika. Sikia maneno ya sheikh

    Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika. Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa nini kusiwepo na Serikali ya Tanganyika. CCM mjibuni huyu Sheikh.
  9. JamiiForums Tanzania Siasa za upinzani na maneno ya tumaini vs kiboko ya wachawi na ukristo wake.

    Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Polepole kuwa akijiweka madarakani kwa nguvu, atatawala kwa shida, naona sasa yanatimia

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, hayo ndio yalikuwa maneno ya Polepole kwa Mtawala kuwa akijiweka madarakani kwa njia zusizo za kudemokrasi, ajiandae kutawala kwa shida. Kwa saaa, ukisikiliza mikutano ya hadhara ya CHADEMA, ukisoma post na comments za watu mitandaoni kuhusu huu utawala na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  12. JamiiForums Tanzania "Wanatoa maziwa na mayai, wanastahili kuwa jikoni" maneno ya Mdau

    Kuna haya maneno nimesikia kutoka kwa mdau mmoja akisema "Hawa wanatoa maziwa na mayai, wanapaswa kukaa jikoni ndiyo sehemu yao, huku kwingine tunalazimisha tu" Ni kauli ya kufikirisha sana. Inawezekana ni kauli ambayo imepitwa na wakati au inawezekana ina ukweli fulani tunaoukataa. Tujadili...
  13. JamiiForums Tanzania Videos: Maneno ya Trump ya chuki dhidi ya Ilhan Omar 😂

    Sidhani kama kuna mtu anamsumbua Trump akili kama huyu mwanamke wa Kisomali Ilhan Omar ambaye ni raia wa Marekani na congresswoman wa jimbo la Minnesota, Marekanii Ilhan anapenda sana kupinga utawala wa Trump kuhusu policy zake za immigration, serikali yake, ICE, chuki dhidi ya waislamu nk...
  14. JamiiForums Tanzania "CHADEMA mnaringa na msiba wenu, hata sisi tutafiwa tu na sisi turinge" Maneno ya Mdau

    Kuna video moja nimeona inasambaa ikionyesha mdau mmoja akisema CHADEMA wanaringa na msiba wao huku akiahidi kwamba na "wao" wanasubiri msiba wao ambao utafana zaidi ya msiba wa CHADEMA ili nao wapate kuringa. Huyu mdau akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa tena msiba "wao" utakaofana utatangazwa...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi akosoa Utawala wa sasa: Mtawala anaendesha nchi kwa vijembe na maneno ya kwenye Kanga. Vijembe havimpaswi mtawala

    Huyu hapa Bibi yetu wa Kizazi kipya ambaye amekataa kukaa kimya dhidi ya uovu kwenye nchi yetu, akianzia kwa kunukuu maandiko ya Biblia na kueleza uzoefu wa wananchi chini ya tawala tofauti. Alisema kuwa katika vipindi ambavyo watawala walikuwa wenye haki na waliwapenda watu wao, wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mufti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery: Tuache Maneno ya Uchonganishi

    Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo leo hii Mufuti na Sheikh Mkuu Wa Tanzania Dkt Abubakary Zubery ametoa maneno mazito sana na...
  18. JamiiForums Tanzania Viburi vinaanza kupungua kuna nini tena mnatoa maneno ya upole

    Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole. Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
  19. JamiiForums Tanzania Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya mtandao kufunguliwa maneno ya REST IN PEACE yametapakaa kwenye mtandao yote ya kijamii

    Pumzikeni Kwa Amani vijana wote mliotangulia mbele ya haki. Hakika vita mmeipiga na mwendo mmeumaliza..R.I.P ALL
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…