manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasubiri ni afisa habari gani wa Yanga atachaguliwa na Manara tuwe na subira

    Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge mliopiga Makofi na Watendaji wa Spika nani Kawadanganya kuwa Mgeni Manara ni Msemaji wa Yanga SC?

    Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau. Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha...
  3. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Manara ni mfitini, alinifitini kwa mashabiki

    FULL INTERVIEW ya Ally Kamwe akiongelea matatizo yake na Haji Manara na mambo mengine ipo kwenye YOUTUBE ya Valor TV @valortv_ Nenda kamsikilize huko utapata meeengi mazuri ya kujifunza kuhusu hawa Binadamu "VYAWA" na wengine wema. Hii ndiyo kwanini tunawaambia huyu WHITE ni shida kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Haji Manara amepunguziwa adhabu ya Faini kutoka milioni 20 hadi milioni 10

    Kamati imetangaza mapema leo kwamba Haji Manara atapunguziwa adhabu yake aliyopewa awali. Kwenye suala la hela imeshuka kutoka ilipokuwa awali milioni 20 hadi milioni 10 na azilipe ndani ya siku 30, ila miaka miwili ipo palepale. Full story: --- Picha: Haji Sunday Ramadhan Manara Msemaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Haji Manara ni Propagandist kinara kwa sasa hapa Tanzania

    Huo ndiwo ukweli. Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii. Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dharau ya Manara kwa TFF nawalaumu Polisi.

    Pamoja na kulinda raia na mali zao, kazi nyingine ya polisi ni kushinikiza watu kufuata taratibu na sheria tulizojiwekea. Amri, sheria ama marufuku ikiwekwa na idara, taasisi ama chombo kingine chochote ni kazi ya jeshi la polisi kuhakikisha inatekelezwa. Sasa kwann polisi hawamkamati Manara...
  7. JamiiForums Tanzania Haji Manara Awachokoza tena TFF

    Shirikisho la Mpira Tanzania linatakiwa kuchukua hatua kali zaidi kwa @hajismanara kwasababu ameendelea kukiuka adhabu aliyopewa ya kufungiwa miaka miwili. Hii ni dhihaka kubwa kwa chombo chetu cha kusimamia mpira nchini na kwa Wizara ya Michezo kwa ujumla wake, lakini inavuka na kudhalilisha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vipi kama Manara, Morisson wanasema ukweli kuhusu CEO Barbara

    Hili sakata la usajili lilivyokosewa kiuzembe kwenye namba 6 na 9 ukilichunguza kwa makini ni uzembe mkubwa sana wa bodi yote ya simba plus Mohamed dewji Sasa kinachotokea ni nini? PROPAGANDA MFU: *Vipers wanataka millions 400 mkataba wa miezi miwili *Mchezaji mwenyewe anatuchanganya tu...
  9. JamiiForums Tanzania TFF msameheni Manara

    Ukweli ni kuwa mkubwa hakosei. Rais wa TFF ni mtu mkubwa sana kwenye mpira wetu Tanzania. Ndiye kioo Cha mpira wetu kwasasa, yaani kama ni ukatoliki yeye ndiye wa kanisa nchini na kama ni uislamu yeye ndiye Mufti wetu, haifai atokee mtu yeyote miongoni mwetu akamdhihaki hata kwa kutania TU akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  11. JamiiForums Tanzania Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

    Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA. Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe. Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
  12. JamiiForums Tanzania Wanaomchukia Manara wanaumia zaidi kuliko Manara mwenyewe anavyoumia kuchukiwa na wengi

    Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo. Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata. Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi. Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee...
  13. JamiiForums Tanzania Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Weledi wa Barbara kupinga ubaguzi wa Manara dhidi ya uwezo duni wa Engineer Hersi kiuweledi

    Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Taasisi, TFF acheni kulumbana na Haji Manara, he has nothing to lose!

    Hivi kribuni Nd Wallace Karia wa TFF kaingia ligi ya kujibizana na "crazy" Haji Manara, msemaji wa Yanga. Katika tafrani hili linaloenda kukua chizi huyu Manara sasa kawaingiza tope TFF. Lakini kuna msemo maarufu kuwa "Never argue with fool, people might not notice the difference". Na hao...
  16. JamiiForums Tanzania Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  18. JamiiForums Tanzania Manara atunukiwe Honorary Doctorate!

    Huyu jamaa ana IQ kubwa kupita wengi katika sekta ya Michezo. Pamoja na kuwa hajasoma Sana Ila ni mtu aliyepaisha Moira wa Tanzania na Afrika nzima
  19. JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

    Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

    Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…