manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. tonicimmobility

    Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  2. tonicimmobility

    PostGE2025 Manara: Nikishaapishwa tu, DAWASA mjiandae kuja na majibu hizi chemba za maji machafu tunafanayaje

    Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo Huku...
  3. tonicimmobility

    PostGE2025 Manara: Udiwani wa kuvaa majoho na masuti lazima tuache

    Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa majoho na masuti kwa sasa lazima uachwe akitilia mkazo suala la uwajibikaji kuliko kuzingatia vyeti...
  4. tonicimmobility

    PostGE2025 Ofisi za Manara tv kuzinduliwa December 12, 2025

    Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ametangaza rasmi tarahe ya uzinduzi wa ofisi za Manara tv huku ikiwa ni mabadiliko ambapo awali uzinduzi huo ulitakiwa ufanyike November, 2025. Mabadiliko hayo yamechochewa na shughuli za uchaguzi mkuu...
  5. DuaZaMama

    Manara aondoa taharuki asema Yuko vizuri, haumwi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara Tv na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Manara ameondoa taharuki kufuatia taarifa zilizosambaa kuhusu hali yake ya kiafya, akihakikisha kuwa yupo vizuri na wala haumwi. Akizungumza hii leo Oktoba Mosi, 2025 Ndugu Manara...
  6. Bila bila

    GE2025 Kama kuwa Mtoto wa Rais ni tiketi ya kutajirika tuoneshe Buggati ya mabilioni ya Madaraka Nyerere na Jesca Magufuli

    Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka Kwa Wahuni wenzio. Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu...
  7. P

    Tetesi: Waandishi wa habari wa Jambo TV na Manara TV washikiliwa Arusha

    Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha* Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
  8. veyra

    Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  9. A

    Manara kuwa Diwani

    Historia yake vipi kama hii hapa KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuhusishwa na tuhuma za utapeli. Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kirumbe Ngenda, jana alilithibitishia gazeti hili kuwa wamekubali barua ya...
  10. GENTAMYCINE

    Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  11. SSH2025_2030

    Mhe. Manara anafaa kuwa Meya wa Kiji la Dar

    Kwa kofia yake kama Diwani. Anafaa kuongoza Dar kama Mstahiki Meya . Asanteni
  12. comrade_kipepe

    Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

    Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji. Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa...
  13. W

    GE2025 Manara apitishwa kuwa miongoni mwa wagombea wa udiwani kata ya kariakoo kupitia CCM

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Kamati ya Halmashauri Kuu ya Chama hicho, imemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, @hajismanara , kuwa miongoni mwa wagombea watakao wania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo,Wilaya ya Ilala, Jijini Dar es Salaam. Uteuzi wa Manara umetokana na mchakato...
  14. Waufukweni

    Mahojiano ya Dogo Patten na Mjini FM yazua mjadala Mitandaoni, ya muiuibua Haji Manara

    Wakuu! Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
  15. Mohamed Said

    Mitandao ya Kijamii Inapocheza na Haiba ya Kuvutia ya Haji Manara

    Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi. Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia. Muda si muda watazamaji wanagota laki +. Na ukweli hawa hawakunifuata mimi. Wamemfuata Haji...
  16. DuaZaMama

    Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

    wakuu ====== Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central. Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
  17. Waufukweni

    Manara: Diamond angechelewa ningemuoa Zuchu

    Akizungumza na waandishi wa habari kwenye usiku wa mwanadada Yammi, Haji Sunday Manara amesema kama Diamond angechelewa kumuoa Zuchu basi yeye angeenda kutoa posa kwa Bi Khadija Kopa ili amuoe mwanamke huyo.
  18. kyagata

    Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

    Wakuu Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani. Hivi ziliishia wapi?
  19. Just Pray

    PreGE2025 Heche: CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi watuibie sisi tumekataa, Inawezekanaje Haji Manara awe refa mechi ya Simba na Yanga?

    "Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
  20. GENTAMYCINE

    Kudadadeki Vita mpya kati ya Manara na Mwijaku imenoga

    "Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji Manara. Chanzo Taarifa: manaratv Ila Haji Manara muhuni sana Wewe jamaa yaani hata hujaogopa kusema...
Back
Top Bottom