man

A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.

View More On Wikipedia.org
  1. Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

    Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo. Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55. United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla...
  2. Kwa yanayomkuta Macon greenwood wa man utd.Ulaya kula kinyama ni ngumu sana.

    Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana. Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united. Kwa hali hiyo Ulaya kula kinyama hicho ikiwa hujaoa ni ngumu sana. Na hata kama umeoa mkuu uache yeye(mchuchu)atake...
  3. Premier League: Man United yaibamiza Liverpool 2-1, Agosti 22, 2022

    Baada ya kuanza msimu vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, Manchester United imeamka na kuipa Liverpool kipigo cha magoli 2-1 katika mtanange wa Premier League kwenye Uwanja wa Old Trafford. United haikupewa nafasi kubwa ya kushinda katika mchezo huo, ilipata magoli yake kupitia kwa Jadon...
  4. Kiungo wa Real Madrid, Casemiro akubali kwenda Man United kwa Paundi Milioni 60

    Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa. Inaelezwa kuwa Mbrazili huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii na kila kitu kikienda...
  5. Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  6. Man arrested with drugs at JKIA jailed for 20 years, fined Ksh.20 million

    A Nairobi court has slapped a German national with 20 years imprisonment and ordered him to pay Ksh. 20 million for drug trafficking. According to a report issued by the Director of Public Prosecutions (DPP) on Wednesday, the accused, Rommenswinkel Dieter appeared before a court at Jomo...
  7. John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
  8. Ten Hag anyoosha mikono, ataka Ronaldo aondoke Man United

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango yake Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa imekuwa ngumu kwa Ten Hag kufanya kazi na...
  9. D

    Man Utd walifanya kosa la Karne la Kutompa timu Conte

    Yalikuwa ni maamuzi ya wazimu kabisa. Tazama ndani ya muda mfupi tu Spars ilivyobadilika, Naamini kabisa kwa Man Utd mwaka huu Conte angeli challenge Title na Man City.
  10. Kocha Man United afuta mapumziko ya wachezaji baada ya kichapo cha 4-0

    Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League. Licha ya kuwa watakuwa na siku nane kabla ya mchezo ujao dhidi ya Liverpool, Ten Hag amefuta mapumziko na wamekutana ili...
  11. M

    Man U poleni: Mechi ijayo mnacheza na Liverpool hapo jiandaeni kipigo cha tatu!

    Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
  12. Man United mambo magumu EPL, yapigwa tena 4-0 Agosti 13, 2022

    Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022. Huo unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo kwa timu hiyo kupoteza katika Premier League msimu huu, ambapo...
  13. Dili la Rabiot kujiunga Man United hatarini kukwama

    Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara. Veronique Rabiot, mama wa Rabiot ambaye ni wakala wa mchezaji huyo anataka mteja wake alipwe mshahara wa Paundi Milioni 6...
  14. Chicharito yupo tayari kucheza Man United bure ili kuokoa jahazi la ushambuliaji

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji Chicharito, 34, aliyefunga magoli 59 katika mechi 157 akiwa United kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani amesema...
  15. Auwiiiiiii kumekuchwa narudia tena kumekuchwa EPL MAN UTD KAFA HUKO!!😂😂

    Mwanitesa united a.k.a manyua au maarafu kama man utd imekumbana na kitu kizito kichwani leo hii baada ya kulwamba magoli 2-1 hi timu ni mbovu mnoo inaleta stress, inaleta magonjwa ya moyo kila siku ni huzuni juu ya huzuni!
  16. EPL: Man United yapata kipigo ikiwa Old Trafford, Ronaldo aanzia benchi

    Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022. Mchezo huo ni wa kwanza wa kiushindani kwa Kocha Erik ten Hag tangu aanze kuifundisha #ManUtd, ambapo pia...
  17. M

    kwanini Manchester united imekazania ronaldo asiondoke kwani hamna timu zinazomtaka ikumbukwe anapokea mshara wa pauni laki tano kwa wiki.

    mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united...
  18. Frenkie de Jong hataki kwenda Man United kwa madai klabu hiyo haiendeshwi vizuri

    Imedaiwa kuwa kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong hataki kuhamia Manchester United kwa kuwa haupendi Mji wa Manchester na anaamini klabu hiyo haiendeshwi vizuri. Ilielezwa kuwa Man United ilikubali kuwa tayari kutoa Paundi Milioni 71.5 ili kumsajili lakini mchakato umekuwa mgumu kwa kuwa kuna...
  19. Wabuye: Amuua kaka yake kisa deni la Shilingi 50

    Polisi mjini Webuye wamewakamata wanaume wawili kwa madai ya kumuua ndugu yao kisa madai ya Sh50. Bw Nickson Matumbai, 61, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu na mdogo wake mwenye umri wa miaka 33 akiwa na binamu yake mwenye umri wa miaka 50 maeneo ya Misikhu katika Kaunti ya Bungoma siku ya...
  20. Man United kusafiri leo, Cristiano Ronaldo kukosekana kwenye msafara

    Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana na kuongezewa muda wa kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Pamoja na hivyo bado haijulikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…