Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa.
Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
Serikali ya Urusi inataka kuanza zoezi la kutambua rasmi makundi ya mamluki ndani ya nchi, maana kwamba yeyote anaibuka na kubuni jeshi lake la mamluki kisha analisajiri na kuanza kufanya yake popote.
MOSCOW - The Kremlin said Friday that Russia could grant legal status to private military...
Kwa hali ilivyo, nasisitiza kwa hali ilivyo,
Mamlaka ziwe makini sana na kufuatilia kwa karibu mienendo ya hivi karibuni ya baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii,
Aina ya ukosoaji na lugha zinaztumika si sahihi hata kwa mtu aliyekosa sembuse kwa anaetengeneza
Bado nachunguza ila...
Huyu mzee alisifiwa sana humu na pro-Russians, haya amekua mwiba sasa na naona anatumika kuishusha supapawa zaidi, Urusi imeomba mamluki wake wamzunguke na kumkamata, ila yeye amesema atafanya kishindo humo humo Urusi kama njia ya kulipiza kisasi mauaji yaliyofanywa kwa wapiganaji...
Nina mashaka sana na huyu rais wa Ukraine kuwa anaweza kuwa anatumika na Urusi hili kuidhoofisha ulaya kiuchumi na teknologia ya silaha zao. Mfano Himars zimeundwa 2012, uwezo wa Patriots, uwezo wa Leopard tanks n.k.
Matangazo ktk media za west zikisifia dhana hizi za kivita, lakini uharisia...
Wanajeshi 20,000 wa kundi la mamluki la Wagner la Russia waliuawa katika vita vya miezi kadhaa vya kuudhibiti mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, mwanzilishi wake amesema.
Yevgeny Prigozhin alisema amewaandikisha wafungwa wapatao 50,000 kupigana na Wagner katika vita vya Russia nchini Ukraine...
Mbowe anazunguka na Chopper. Mbowe amepewa Landcruiser V8 mbili na Samia. Ana msafara wa V8 kumi nambili, Huku Makamu mwenyekiti wake anabaguliwa. Hana hata gari moja Nadhani ni dhahiri kwamba Samia anataka Mbowe agombee 2025 ili auze ushindi. Watanzania hawatakubali. Chadema siyo mali ya Mbowe...
Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale mwembe Yanga.
Leo hii mtu anaenda kununua mamluki toka Cuf kisa tu kuna maridhiano uchwara huku yeye...
Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini.
Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela.
Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo...
Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha mbwa, watu wana hasira...
Videos posted to Telegram on Friday apparently show a Russian mercenary...
Mwenyekiti wa shirikisho la wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga Mkoa wa Mbeya Jerry Mwatebela amesema uchaguzi uliofanywa Ili kuwapata viongozi wa soko la airport ya zamani ni batili kutokana na kughubikwa na utata katika zoezi Zima la uchaguzi huo.
Akizungumza mbele ya...
Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa
Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye Maiga amesema wanajeshi hao waliwasili kinyume cha sheria akiwaita watu hao ni ‘mamluki’ na kuwa...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025.
Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
Urusi inawaajiri Wasyria wenye ujuzi katika mapigano ya mijini kupigana nchini Ukraine huku Moscow ikijiandaa kwa mapigano makali ya barabara hadi mtaa katika harakati zake za kuteka miji mikubwa ya Ukraine, maafisa wa Marekani wameliambia jarida la Wall Street Journal.
Maafisa wa kijasusi...
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
Katika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya.
Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?
Habari hii inajieleza wazi:
John Mrema amethibitisha baadhi ya utambulisho watu hao.
Kwamba tumefikia huku kwenye "impersonation" si haba inaonekana ujumbe unawafikia walengwa.
Kwa vile walisema walikuwa hawajasikia - na tupaze zaidi sauti.
Aluta Continua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.