mamluki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ole wenu Magaidi na Mamluki mnaopanga kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi Dec.25.2025

    Hapatakua na huruma, aibu wala haya katika kuwadhibiti na kuwasambaratisha katika harakati zenu za kujaribu kuvuruga amani na utulivu miongoni mwa waTanzania. Binafsi nawatakia vijana na waTanzania wote sherehe njema za Christmass na heri ya mwaka mpya2026. Nawatakia matumizi mema na sahihi ya...
  2. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Swali Fyatu: Madai ya kuletwa Mamluki Oktoba 29 yametolewa maelezo popote?

    Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    Maria Sarungi ni Mamluki? Mpaka sasa hajatoa link wala Qr ya channel ya Zello

    October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka. Sasa jana kasema watu wadownload zello ila hajaweka jina la channel ili watu wa join. Huyu ni mamluki wa mama kilaza.
  4. Mjanja M1

    PostGE2025 Msitujumuishe na wataokafanya vurugu D9 (Hao ni Mamluki)

    Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu. HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA. HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI. Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala...
  5. pulex

    Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika. Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
  6. Mzee Mwanakijiji

    GE2025 Atawatawala kwa Risasi na Mamluki?

    Wamemtangaza..watamuapisha Watawalazimisha Watanzania kumpenda na kumuimbia tena...picha zake zitajazwa kila kona Atakapoapishwa atapangua jeshi la polisi na kuwalaumu wao... Lakini hadi hivi sasa hawajaonesha hata kidogo kuelewa kilichotokea...kusikitika lakini kitendo cha kuleta mamluki...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  8. The Burning Spear

    Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  9. H

    Kuondoka kwa mamluki ni faraja kubwa kwa CHADEMA. Zifanyike jitihada waondoke wote

    Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo. Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
  10. B

    PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

    Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!" Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa...
  11. T

    Goma: Jeshi la Mamluki kutoka Romania wajisalimisha Rwanda

    Jeshi la kukodiwa la kutoka Romania, wameona moto uliukuwa unatembezwa na M23 na RDF, na kuamua kujisalimisha kwa UN, ambapo, waliombewa kuingiwa Rwanda kwa mipango ya kusafirishwa na kurudi kwa Romania...
  12. Lord Denning

    Lissu katusaidia sana kuwajua mamluki

    Kuna Id humu zilikuwa zinaaminika kwa kipindi kirefu sana kama id za watu makini ambao ni wana mageuzi ya kweli. Id hizi zilijitanabaisha kuwa watu ambao ni wana mageuzi kweli ambao kamwe usingefikiri kuwa ni watu walio kimakakati. Sakata la Lissu kuibua maovu yanayofanywa na wanasiasa...
  13. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  14. Matulanya Mputa

    LGE2024 Nilipoambiwa ACT Wazalendo ni chama mamluki nimeamini na ile kauli ya Nchimbi kuwa kuna vyama wameshiriki kuanzisha

    Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi? Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya...
  15. comrade_kipepe

    Familia ya Bakhresa azam ina mamluki sana mtapigwa sana hata mumsajili nani

    Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu USHAURI WANGU: Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao...
  16. USSR

    Kiboko ya wachawi amewalipa mamluki waje kumpigania kanisani, serikali iwe macho, unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii

    Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili USSR
  17. R

    PreGE2025 Vyama mamluki matawi ya CCM

    Kwa maoni yangu hivi hapa ni vyama mamluki ambayo ni matawi ya CCM ADA TADEA CCK NLD Demokrasia Makini NCCR- MAGEUZI TLP UPDP SAU UMD NRA ACT CUF Pamioja na Chama cha DP
  18. Erythrocyte

    2024 utakuwa mwaka wa Mapambano kabambe ya Kisiasa, hatutakuwa na Huruma na Mamluki

    Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda tukazikwa humu humu siku zetu zitakapofika mwisho. Si kazi rahisi kupiganiia haki kwenye nchi kama...
  19. K

    Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

    Israel imetangaza rasmi kuhitaji huduma ya wanajeshi mamluki kutoka sehemu mbali mbali duniani. Tangazo lililotolewa na jeshi la Israel (IDF) imeelezea ofisi za usaili zipo kwenye ubalozi wa Israel jijini New York kwa wahitaji waliopo bara la Amerika ya Kusini na kaskazini huku wahitaji wa...
  20. MK254

    Kundi lingine la mamluki laanza kumgomea Putin, hawa kwanza ni NAZI kabisa

    Hili ni kundi linaloamini katika neo-NAZI, yaani NAZI ya kisasa, wanaamini katika zile pumba za Hittler alizotumia kuua mamilioni. Wakati Putin anaparamia Ukraine alisema anafanya hivyo kuondoa neo-NAZI, sasa hawa hapa walikua wanampigania na kumsaidia kama ilivyokua kwa wale wa Wagner...
Back
Top Bottom