mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  2. JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18. Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Tanzania zadaiwa kuiomba Instagram kuondoa nyaraka zinazoonesha ufisadi mkubwa unaofanyika nchini

    Ni kama serikali inakili zile documents zilizopakiwa Instagram ni za kweli, hali ambayo inaonesha nchi inapoteza pesa nyingi sana za walipa kodi. Soma hapo chini inasomeka kama ifuatavyo: This is because we complied with a legal request from Tanzania Communication Regulatory Authority to...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Kiongozi wa CCM ana mamlaka ya kufukuza kazi mtumishi wa Umma?

    Inapaswa tumuelewe Lissu anaposema No Reform no Election.
  6. JamiiForums Tanzania KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la bidhaa feki nchini kuuzwa kwa bei sawa na bidhaa halisi; Mamlaka husika zinawalindaje walaji?

    Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo ambalo ni kilio kwa walaji. Uchunguzi huo ambao unawasilishwa kwenye andiko hili kwa ufupi...
  8. JamiiForums Tanzania Huwezi kuilinda amani kwa kuuwa sauti za haki. Ulinzi wa kweli unaanza pale unapoamua kuwa binadamu~si roboti wa mamlaka

    "Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu. Magenerali kama Hannibal Barca wa Karthage (Tunisia ya sasa), aliyepambana kulinda taifa lake dhidi...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo vyenu kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya

    Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo mlivyonavyo kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya. Hatukupaswa kufanya kosa kubwa sana la kuondoa haki kama hakuna haki hata nyinyi hamtopata haki baadae endapo mtabadirisha nchi kwa kuunga...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iiangalie BBC Swahili via Star tv

    Nimesikiliza taarifa ya habari ya BBC Swahili Leo hii saa tatu kupitia Star tv mwandaa maudhui na mtangazaji wake wamepwaya sana hasa kesi ya Lissu walivyoitolea taarifa. Kila haki nyuma kuna wajibu,BBC wana malengo yao kama taasisi na hili siwalazimishi kubadilika sabu wapo kibiashara,malengo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kama Ilivyo, Hakuna Uhuru Usio na Mipaka, Watawala Pia Wajue Hakuna Mamlaka Yasiyo Na Mipaka. Kilichofanyika Airport, ni Ushenzi

    Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa: 1. Tii sheria bila shuruti. 2. Hakuna uhuru usio na mipaka Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo ni sahihi, wao wenyewe wapo mstari wa mbele katika kuzitekeleza ili kuweka mfano mzuri kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas. Awaita Hamas ni watoto wa Mbwa

    Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao wanaishi huku Tandale kwa Tumbo na Mburahat wanasemaje...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Rehema Tajiri Kutapeliwa Gari aliyonunua kwa mtu kimenisikitisha sana. Kuna mapungufu kwenye utendaji wa Mamlaka za Serikali Iingilie kati

    Hii pia iwe funzo kwa sisi sote tunaounua mali kutoka kwa watu binafsi kama Gari, Pikipiki, kiwanja, nyumba n.k. Serikali iingilie kati Mama huyu apate hali yake amesumbuka sana Alinunua gari hiyo Ractis namba D ili imsaidie wakati wa kampeni kumsapoti Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Kusindikiza mtu kikatiba imekuwa ni maandamano ya wapi mamlaka inazodi kufanya makosa kwa kudhani haita wajibishwa na huu ukatili unaoendelea

    Nchi sasa haiongozwa kwa sheria hakuna muongozo unao mtaka mtu asindikizwe kwa ukomo au idadi flani kwa jeshi la polisi kuwapiga watanzania kwa kusindikiza mtu kwa sababu za kusindikiza zina minya haki za binadamu na kuingilia uhuru wa mtu binafsi. Kusindikiza mtu kikatiba ni maandamano ya wapi...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa ndio chama kikuu cha upinzani kinachoogopwa zaidi na mamlaka

    Mwenye macho haambiwi tazama Mwenye masikio haambiwi sikia Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa Viongozi na wanachama wa CHADEMA kubambikiwa kesi mbalimbali zisizo na dhamana Kutekwa na kupotezwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nini kipo katika mamlaka? Ni kama kuna zimwi linakuvaa ukishapata kiti kikuu. Linafanya upofu wa macho yako ili uone kwa macho yake litakayo

    Utu huondoka. Unyenyekevu hukimbia. Yani sijui ni exposure na experiences ngumu katika ngazi ya mikakati ya kufikia juu ndio huwa inabadirisha watu au basi mwanadamu ana bweteka kwa kuonesha rangi zake za kweli pale anapopata ukuu wa juu na ili kubaki hapo ana fanya lolote ili aweze ku-survive...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenye Vyeo na Mamlaka huko Serikalini (Bara na Visiwani) hadi Ikulu mnataka niwe kila mara nawakumbusha hili tu? Kwanini hamlitekelezi?

    Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha Chakula chako Kikuu kiwe ni Ibada kama GENTAMYCINE na vile vile kama ni Mshirikina Tukuka kama 'Mashavu...
  18. JamiiForums Tanzania Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mji mdogo Maswa inataka ikusanye mapato yake yenyewe.

    Mamlaka ya Mji Mdogo wa Maswa mkoa wa Simiyu imeitaka halmashauri ya wilaya hiyo kuiruhusu kukusanya mapato yake moja kwa moja kwa kupewa vyanzo rasmi vya mapato, ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya mji huo. Mwenyekiti wa mamlaka hiyo,Caroline Shayo amesema...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

    Hellow! Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili. Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…