mambo ya ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani ni Wazara yenye kukuvua nguo muda wowote

    Hakuna wizara ambayo ngumu kama wizara ya Mambo ya Ndani, naona wangesoma waliopitia hii wizara na mwisho wake walikuwaje.Kuna wengine mpaka wakadharaulika, wengine walijiondoa kulinda heshima zao. Sasa wengine wanaona kupigiwa saluti ni sifa wamuulize Mwigulu alivyoachwa porini
  4. JamiiForums Tanzania Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  8. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  9. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  13. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

    Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia. Haya ni matukio machache...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Magufuli akimtumbua Kangi Lugola, 'kama kuna wizara inanitesa ni wizara ya mambo ya ndani, kusainiwa kwa mikataba ya ajabu ajabu'

    Alhamisi ya Januari 23, 2020 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alionesha kusikitishwa na kitendo cha waliokuwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa alipongeza Jeshi La Polisi kwa "kusimamia" vizuri mkutano wa CCM na Uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema uliofanyika jijini Dar es Salaam. Bashungwa amesema hayo leo Januari 22, 2025 wakati alipofanya...
  16. JamiiForums Tanzania ACT Wazelendo yawataka IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani kujiuzulu kutokana na vitendo vya Utekaji na mauji ya raia wasio na hatia

    "Matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa wananchi, mwaka 2024 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya utekwaji, kupotezwa, na hata mauaji ya wananchi wasio na hatia, visa na takwimu ya matukio zaidi ya 150 ya aina hii yamerekodiwa huku wengi wa wahanga (waathirika) wakiwa ni wanaharakati na...
  17. JamiiForums Tanzania Georgia : Kobakhidze kuwapa tuzo watumishi wizara ya mambo ya ndani waliowekewa vikwazo na Western countries

    Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor. Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa Akabidhiwa Ofisi na Masauni, Wizara ya Mambo ya Ndani

    BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo...
  19. JamiiForums Tanzania Bashungwa apokelewa Wizara ya Mambo ya Ndani - Zanzibar

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Disemba, 2024. Mapokezi hayo yamefanyika katika Ofisi za Idara...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Masauni umefanya kazi nzuri kwenye Wizara ya Mambo ya Ndani. Una CV nzuri japo umekaa kwa muda mfupi

    Wakuu, Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo. Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…