Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito
1. Panga kuonana na mkunga wako
Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye. Kwenda na wakati ni jambo la msingi pindi unaonana na daktari, inategemea unaishi wapi na lazima uwe umepanga kuonana na...