Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia
2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika
3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha
Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi...
Mama Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania. Mwaka 2021-2022 Mama Samia alikuwa anapendwa sio tu Tanzania lakini hata Duniani. Tuliona mialiko mingi sana kutoka nchi mbalimbali hii ilitokana na ukweli kwamba watu kwa ujumla wao wanapenda mtu ambaye ni wa watu mcheshi...
Mama Bado ana nafasi ya kutunza kidogo kilichobaki Kwa kujiuzulu au kujitenga na wauaji na kuwakabidhi Kwa mahakama
Hili taifa litoke kwenye huu mkwamo ziko njia mbili tu Mama Samia amue kuwajibika Kwa kujiuzulu Kwa heshima kabisa au awakabidhi wauaji wote kwenye mahakama huru
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
Mama Samia ambaye alikuwa anakutana na kuombwa mikutano na maraisi wa nchi kubwa kubwa sasa kabaki kufanya mikutano tunguu zanzabari na machawa😇 .
Yote yanatokana na tamaa za pesa na ubinafsi badala ya kuweka nchi mbele. Kajaza familia kwenye uongozi na watu ambao ni machawa lakini ataondoka...
Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA?
Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini?
Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa?
Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan.
Wanaijeria wamempapasa na kumpiga viwili.
cc
Abduli, Mafwele na Muliro.
===
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini.
“Nchi hii imeshikwa na Mwenyezi Mungu na ni kwa sababu viongozi wa dini wanaendelea kuliombea...
Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli. lakini TEC imekuwepo toka miaka ya 60's na itakuwepo akiondoka na hawezi kufanya lolote huo ndiyo ukweli.
Serikali badala ya kupigana na vyombo ambayo hawaviwezi ni bora wafuate ushauri wa kuacha kuteka, kuleta katiba...
Mama Samia tatizo sio Tanzania ni wewe binafsi! kesi ni zako , lawama ni kwako sio nchi!!.
Serikali yako ndiyo inateka, imeuwa vijana, ina ufisadi mkubwa, inaiba kura kwa Watanzania. Usilaumu nchi nyingine kwa matatizo yako binafsi. umeajiri watoto wako, marafiki wa wezi wenzako halafu unasema...
Mama Samia.
Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania.
Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili.
Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu.
Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini...
Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile.
Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya Tanganyika kupata uhuru ni dhahiri kuwa unawanyima uhuru watanganyika kusherehekea sikukuu/uhuru wao...
Rais Samia akizindua Tume Huru ya Uchunguzi ya Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi
https://www.youtube.com/live/pPI4FheVabM?si=j0ZyGRkWY0MtLpRm
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka akizungumza Ikulu Chamwino mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa Tume Huru ya...
CCM kubalini uwezo wenu wa kuongoza taifa umefikia mwisho, umegota na kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
Ili kukinusuru chama kwa muongo mwingine ujao mshaurini Samia ajiuzulu, iandikwe katiba mpya uchaguzi urudiwe hiyo ndiyo itakuwa salama yenu.
Kuendeleza jeuri kuwa sisi ndio chama tawala...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametunuku Shahada za Awali, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu katika Mahafali ya 55 (Duru la Pili) ya chuo hicho kikongwe kuliko vyote nchini.
Jumla ya wahitimu 2,742 walihudhurishwa...
Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha?
La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98,
Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.