Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne
First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi
Anapigiwa mizinga
First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari
First lady Bi Salma alikuwa na...
Kimsingi wanacnchi wengi wanatamani upumzike Ubunge wa jimbo la mchinga ,umekua mbunge kwa miaka 10 ,wa jimbo miaka 5 na Taifa miaka 5 ..wananchi wa mchinga wanakushukuru
Ukiamua kufuata nyayo za Mhe Majaliwa ,wananchi wa mchinga watakushuru sana kuliko kuendelea kun'gang'ania ubunge wa mchinga...
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye...
Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika.
Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya...
Ndugu zangu wananchi wa Mchinga,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa changamoto zinazotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika jimbo letu. Tunatambua kuwa mvua hizi zimeleta athari kwa familia zetu, makazi, na shughuli za kila siku. Hata hivyo, napenda kuwahimiza kuwa na utulivu na...
Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001.
Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa.
Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena.
WhatsApp 0712 148001.
bajaj
benz
brevis
carina
fuso
ist
kilimanjaro porters assistance project
kushuka
land cruiser
magari
mamasalmamama samia
mazda cx-5
mazda demio
mazdacx5
milioni
mitano tena
noah
passo
pickup
pilau la mama samia
prado
range rover
raum
simba fc
suzuki escudo
suzuki swift
toyota
vitz
wadau wa biashara
Mama Salma alipendekeza kuwa wanandoa wa viongozi nao walipwe kama vile ambavyo "wapenzi" wao wanalipwa. Rais Samia Suluhu Hassan akaona hilo ni wazo zuri na akaamua kulifanyia kazi kwa kuunda muswada na kuupeleka bungeni. Sasa hivi, imekuwa sheria. Kwa hiyo, katika nchi hii, tuna wake wa...
BADILIKO 1:
Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100.
Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi.
Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili ni ajili ya wabunge kwenda kwa...
Wanabodi,
Sorry, this is a duplicate Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa?
Paskali.
Wanabodi,
Kwa mila na desturi za kiasili za Kiafrika, Traditional African tradition, kwenye ngazi ya familia, mume ndie mkuu wa familia, ndie anayechagua mchumba, ndiye anaya posa, adie anayelipa mahari, kununulia bidhaa ya mke!, ndie anaye oa, na kukabidhiwa bidhaa yake na kumhesabu mkewe ni...
Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete.
Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.