malinyi

  1. TaiPei

    Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

    Mama nakusalimu kwa jina la JMT, Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation" Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii, Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa...
  2. tumbili mweusi

    Viwavijeshi wanashambulia mazao Itete, Malinyi Morogoro

    Habari wana JamiiForums, Hivi mbona serikali haichukui hatua kudhibiti hawa viwavi jeshi wanaoshambulia mazao ya wakulima? Chondechonde hali mbaya huku Itete wilayani Malinyi, mkoa wa Morogoro.
  3. Erythrocyte

    Picha: Chadema Digital yafika Malinyi, Morogoro

    Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
  4. J

    Uchaguzi 2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

    Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe. Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo...
  5. M

    Jinsi ya kufanya uchapishaji binafsi (self pulbishing)

    Wakuu habari za jioni. Naomba mods msiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine kwani huu ni special kabisaa JINSI YA KUFANYA UCHAPISHAJI BINAFSI (SELF PULBISHING) UTANGULIZI Ni ndoto ya watu wengi sana kuchapisha vitabu vyao na kuwafikia hadhira husika. Ila tafiti zinaonesha...
Back
Top Bottom