Habari?
Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na watatu 7.
Wadada wa kazi wanasumbua sana. Mama na baba walitangulia tangu nikiwa mdogo, pia mke wangu...