maktaba

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

    Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena? Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
  2. JamiiForums Tanzania Video kutoka maktaba: Baba Askofu Josephati Gwajima akimfufua mwanafunzi aliyefariki dunia ghafla

    Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona! Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

    Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi. Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka maktaba za Taifa

    Msaada wa kuwatambua wengine zaidi ya Dr John Magufuli.
  5. JamiiForums Tanzania Maktaba ya ujerumani (Bavaria) imefikia uamuzi wa kurejesha vitabu vya freemasons vilivyoibiwa miaka 80 iliyopita

    Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita. Vitabu hivyo inasemekana vina maelezo kuntu ya matambiko "rituals" ya ibada za ki-freemasons.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…