"Mimi pia maneno yale, nilikuwa wakili wa kwanza kufanya kesi ya ugaidi mahakamani kuwatetea watu, mashehe wa Arusha, waliokaa gerezani kwa miaka tisa. Halafu baadaye mahakama ikathibitisha haukuwa ugaidi. Kwa hiyo haya ni makosa ambayo yanatumiwa kuwaumiza watu, na sijui kwa faida ya nani kwa...