makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Mara sio ya mauaji, sio ya kukatana Mapanga, wakiwaambia msiende kupiga wajibuni hivi

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Jimbo la Arusha mjini Paul Makonda akiwa Mkoani mara kumuombea kura mgombea wa Chama hicho nafasi ya urais Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kukataa kuungana na wanaosema hawatopiga kura na wakiwaambia na wao wasiende kupiga kura...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nikiingia bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030. Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

    Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele. Kipindi cha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makonda na 'kampeni za kifahari' kuliko wagombea wengine wa CCM, Je, anatuma ujumbe gani?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea na kampeni katika mikoa mbalimbali, na kwa sasa wametia mguu wao huku Kanda ya Ziwa. Ukiachana na mambo kadhaa yanayoacha tafakuri kuhusu mwenendo mzima wa kampeni, yapo mambo mawili yanayonifanya nijikune kichwa, kama siyo kushika tama. UKWASI WA MAKONDA...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Amani haichezewi tuangalie taifa alipolitoa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka Watanzania kupuuza watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani nchini, huku akisisitiza umuhimu wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makonda ametoa kauli hiyo jijini Mwanza...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda uso kwa uso na Zitto, Mwanza

    Soma pia: Makonda uso kwa uso na Gambo kwenye mabanda Arusha, ona kilichotokea mbele ya Waziri Ndejembi
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Bora China kuliko Makonda

    Naamini huyu dada chinaa angawafaa wana Arusha kuwa mbunge wao kuliko huyo laghai Makonda.
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Inaonekana Makonda anapenda sana kulialia

    Yalikuwa ni mapenzi na hofu ya Mungu au siasa zetu kivyetu vyetu? Ila Makonda inabidi apewe cheo cha 'Lastborn' wa Taifa analialia sana.
  10. JamiiForums Tanzania Mapepo yaliyotolewa na Makonda yalimwingia nani? Sasa we Gambo unabisha, ulikuwepo?

    Sasa wewe Gambo unabisha Makonda hakutoa mapepo, unabisha ulikuwepooooo? Je yalienda wapi mapepo hayoo? Ila siasa ni konyo wasemavya wapemba
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Tazama Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Paul Makonda akitoa watu mapepo

    Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Nchimbi hakuwaunganisha Gambo na Makonda?

    Nauliza kwanini ema ulishindwa kuwapatanisha Gambo, na Makonda kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni? Alishindwa kuwaita na kuwapatanisha mbona mikoa mingine walifanikiwa kufanya hivyo? Kwanini CCM ndio imeleta uadui mkubwa kwa vijana Hawa? Nini hatima ya VIZAZI vyao? Juzi Nchimbi alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Marufuku ya Makonda kwenda US, UK, Australia & Canada

    Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
  14. JamiiForums Tanzania Makonda hapa Arusha anajipa umuhimu usio wake, wajanja walio wengi tunamuona zero brain

    Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo. Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

    Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya 1. Uoe au Kuolewa Kaskazi 2. Usome Kaskazini 3. Uzaliwe Kaskazini Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
  17. JamiiForums Tanzania Magufuli alihujumiwa na Makonda?

    Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi. Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu. So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ? Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo? Angalia...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Makonda kuisimamisha Arusha akichukua fomu ya ubunge

    Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini. Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM. Barabada zinatarajiwa kufungwa kwa masaa kadhaa kutokana wingi wa watu watakaomsindikiza. Tayari maandalizi...
  19. JamiiForums Tanzania Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?). Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Diwani aliyemlilia Paul Makonda atimkia CHAUMMA

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Themi jijini Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Petro Lobora, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kukabidhiwa kadi ya uanachama sambamba na kuchukua fomu ya kuwania udiwani katika kata hiyo aliyoiwakilisha awali kupitia CCM. Tukio hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…