makao

Macau or Macao (English: (listen); Portuguese: [mɐˈkaw]; Chinese: 澳門; Cantonese: [ōu.mǔːn]), officially the Macao Special Administrative Region of the People's Republic of China (MSAR), is a city and special administrative region of China in the western Pearl River Delta by the South China Sea. With a population of about 680,000 and an area of 32.9 km2 (12.7 sq mi), it is the most densely populated region in the world.
Formerly a Portuguese colony, the territory of Portuguese Macau was first leased to Portugal as a trading post by the Ming dynasty in 1557. Portugal paid an annual rent and administered the territory under Chinese sovereignty until 1887. Portugal later gained perpetual colonial rights in the Sino-Portuguese Treaty of Peking. The colony remained under Portuguese rule until 1999, when it was transferred to China. Macau is a special administrative region of China, which maintains separate governing and economic systems from those of mainland China under the principle of "one country, two systems". The unique blend of Portuguese and Chinese architecture in the city's historic centre led to its inscription on the UNESCO World Heritage List in 2005.Originally a sparsely populated collection of coastal islands, Macau, often referred to as the "Las Vegas of the East", has become a major resort city and a top destination for gambling tourism, with a gambling industry seven times larger than that of Las Vegas. The city has one of the highest per capita incomes in the world, and its GDP per capita by purchasing power parity is one of the highest in the world. It has a very high Human Development Index, as calculated by the Macau government, and the fourth-highest life expectancy in the world. The territory is highly urbanised; two-thirds of the total land area is built on land reclaimed from the sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Makao makuu ya Azuma kibono ya UTI sugu

    Watoto wa 2000 wana UTI ya juu kiwango cha zege. Yaani Hawa watoto ni Malaya Hasa jinsia hii ya Hawa watu
  2. Barua ya kiingereza kutoka Polisi Makao Makuu, imelia

    Imagine hii ndo barua iliyotolewa na polisi makao makuu kuhusu hali ya ndani ya nchi. Ndo maana tunasema tusomeshe watoto wetu shule nzuri na wasome elimu kuliko hizo aibu za kutojua lugha za watu. Haya ndo madhara ya kuajiri watu waliopata zero form 4 Barua imetoka makao makuu ambapo ndo roho...
  3. Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  4. Pole, Na Karibu Kaanani Mpya na Makao Mapya! Cry no more!. (For those who are living in the future!)

    Ni wengi tuliokuwa nao katika hii safari, wachache wametuacha siku chache tu zilizopita...kimwili hatuko nao, kiroho tuko nao...mashujaa wetu...wengi walitamani kuifikia hii nchi ya ahadi, lakini wametuacha.... tufurahi pamoja katika nchi mpya ASEMA BWANA WA MAJESHI!... Jaribu kuishi nami mbele...
  5. M

    Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  6. Dodoma Makao Makuu tunaenda na Samia 2025-2050

    Dodoma stand up. Njooni Convention hapa tule MEMA ya Chama. Karibuni wote
  7. Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa. Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
  8. M

    CRDB Bank makao makuu na kelele kwa majirani

    Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
  9. PSSSF: Kwa TEHAMA yetu ofisi zetu nchini pote zinaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
  10. R

    Kama siyo mchafu unatafuta nini huko CCM maana CCM ni makao Makuu ya Uchafu, maovu, ukatili and the like...

    Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu) WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
  11. E

    UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
  12. Makao makuu ya usalama wa taifa Iran yasambaratishwa na Israel

    Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed Iran's Internal Security Headquarters in Tehran on Wednesday, Defense Minister Israel Katz said. Iran's...
  13. Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌ Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
  14. Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio. Tuombe amani Hali ni tete.
  15. W

    Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia

    Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
  16. Israel yapiga makao makuu ya kijeshi Iran pamoja vituo vya kuzalisha mafuta

    Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu.... The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
  17. CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

    Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye...
  18. Ulega Ambana Mkandarasi Barabara Kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ)

    ULEGA AMBANA MKANDARASI BARABARA KUELEKEA MAKAO MAKUU YA JESHI (JWTZ). Amtaka akabidhi barabara ifikapo Disemba mwaka huu Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la...
  19. PreGE2025 Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
  20. Je, Mbowe ataipora Chadema jengo lake la makao makuu Mikocheni?

    Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande wa Zanzibar Je Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…