makanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wakristu,wale wa kuoa mtawapata makanisani

    Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za makanisa hamtakosawa wanawake
  2. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

    Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho...
  4. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

    Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa...
  5. JamiiForums Tanzania Hapa harmonize kakosea nini ? ,Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?

    Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa . Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ? https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waliongua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani?

    Swali. Hawa walioengua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani kusali au ni wapagani? Kwa binaadam wa kawaida ambae anaingia misikitini au makanisani hawezi kufanya hivi NIMEULIZA HIVYO KWA SABABU Qur'an inatoa mafundisho muhimu kuhusu kutenda haki hata wakati wa chuki au hisia nyingine...
  7. JamiiForums Tanzania Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  8. JamiiForums Tanzania Naanza kuhisi serikali inachukua Kodi kwa siri makanisani

    Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa za uchaguzi ujao makanisani zimeanza. Watumishi wa Mungu chukueni tahadhali

    Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije mkajidhalilisha kwa umma wa Tanzania. Wananchi wanaona yanayotendeka kipindi hiki kwa viongozi wetu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa. Yesu ndiye mponyaji!
  11. JamiiForums Tanzania Siku hizi Makanisani 90% mahubiri ni kuhusu Sadaka Sadaka Sadaka!

    Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena. Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Huko makanisani wanakwaya wanakulana hakuna mfano.

    Shalom ndugu zangu, huko makanisan ni kutamu balaaa, watu wanapelekeana moto hakuna mfano. Nimeshahudumu kwenye kwaya hivyo michezo yote naijua, tena ukute mwalimu wa kwaya ni(me) na hajaowa basi mabinti wengi hujisogeza hapo ili wapate upendeleo wa kuimba. mwalimu mwenyewe wa kwaya awe hana...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu miaka michache ijayo zaidi ya 80% ya watu wa dini watakuwa atheists vificho bila kutoka makanisani na misikitini

    Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu. Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao. Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi anapaswa kuonekana hata ofisini, Siyo Makanisani tu, watu watajua anaenda kuombewa

    Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania. Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo lililoshangaza wengi , Sisi wengine tulitarajia labda atokee ofisini kwake au kwenye majukumu mengine...
  15. JamiiForums Tanzania Kucheza Makanisani na gospel: Ndombolo na viduku tushavichoka tuhamie kwenye mauno, Inaruhusiwa na wala sio kosa kwa kanisa

    Kucheza tutakavyo ni ruhusa, Ruhusa hii tumepewa kwa kanisa kubariki tukio la Mfalme Daudi alipocheza mpaka nguo zikamdondoka. Tuwe huru, Ukichukia mapendekezo haya labda uwe msabato, hakuna kucheza ni kusimama tu
  16. JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo bara lenye Wakristo wengi, viongozi wa kikristo watokee Afrika na Makao Makuu yahamie Afrika, ukristo umeshuka Ulaya, Waisrael hawautaki

    Waislam wengi ni waarabu, viongozi na makao makuu yapo uarabuni. Wahindu wengu ni wahindi, Viongozi na makao makuu yapo India. Ajabu ni kwamba wakristo wengi ni sisi waafrika lakini viongozi na makao makuu yapo ulaya. Ulaya imeshakuwa kawaida makanisa yanakuwa matupu kabisa, si ajabu kusikia...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kwanini tunaotoa Sadaka za Sarafu ( Coins ) Makanisani huwa tunaangaliwa kwa Jicho la Usununu ( Hasira ) na Waumini?

    Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani? Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  19. JamiiForums Tanzania Wito kwa TEC: Waraka wa Maaskofu usomwe makanisani nchi nzima hadi 2025 ipite

    Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake. Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…