makanisani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    Tanzania Leaks: Makanisani usiku wa leo kagueni watu wote wanaokuja na vibegi

    Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze. Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
  2. President of China

    Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  3. Mr Why

    Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia nyumba za Ibada na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya

    Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
  4. Surya

    Uovu unatawala...... Leo kuna moto makanisani balaa

    Wakatoliki wote wanakemea uovu unaondelea kwenye nchi yetu.. Walutheri na sisi hatujabaki nyuma, kukemea japo huko juu viongozi wetu hawalushi makemeo wazi wazi, lakini waumini wote tunapewa neno la kutufungua fikra zaidi. Mchungaji wangu leo kanisani kafundisha Mambo mengi kwa ufupi. 1...
  5. peno hasegawa

    Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  6. H

    Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
  7. R

    Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

    Kwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia) Watoto wanatoka majumbani mwao wakijua wao ni wamoja. Wanaongozana pamoja on their way to school. Watoto wanafika...
  8. Braza Kede

    Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

    Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi. Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo. Michango imekuwa mingi mno. Inabadilishwa majina tu. Mingi haipo hata kwenye maandiko. Tunakoelekea itakuwa gharama sana kuwa msharika. Itakuwa ni heri uende vichakani ukaililie mizimu ya kwenu.
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  10. GENTAMYCINE

    Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
  11. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  12. fimboyaukwaju

    Kwa wakristu,wale wa kuoa mtawapata makanisani

    Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za makanisa hamtakosawa wanawake
  13. L

    Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  14. Zee la madawa

    Hivi mnieleweshe: kwani kipindi cha yesu kulikuwa na picha? Sasa huyu yesu aliyepo makanisani picha yake ilipatikana VP?

    Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho...
  15. F

    TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

    Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa...
  16. Nehemia Kilave

    Hapa harmonize kakosea nini ? ,Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?

    Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa . Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ? https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
  17. M

    Waliongua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani?

    Swali. Hawa walioengua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani kusali au ni wapagani? Kwa binaadam wa kawaida ambae anaingia misikitini au makanisani hawezi kufanya hivi NIMEULIZA HIVYO KWA SABABU Qur'an inatoa mafundisho muhimu kuhusu kutenda haki hata wakati wa chuki au hisia nyingine...
  18. Girland

    Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  19. Gulio Tanzania

    Naanza kuhisi serikali inachukua Kodi kwa siri makanisani

    Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
  20. T

    Rushwa za uchaguzi ujao makanisani zimeanza. Watumishi wa Mungu chukueni tahadhali

    Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije mkajidhalilisha kwa umma wa Tanzania. Wananchi wanaona yanayotendeka kipindi hiki kwa viongozi wetu...
Back
Top Bottom