makamu

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Mpango ana Afya njema kushika wadhifa wa Makamu wa Rais?

    Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji. Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

    Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya. BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji. Maendeleo hayana vyama!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  6. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais mteule, Dkt. Philip Mpango kuapishwa, Machi 31 saa 9 alasiri - Dodoma

  7. JamiiForums Tanzania Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
  8. JamiiForums Tanzania Makanisa Tabora yaungana kuliombea Taifa na mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

    Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote. Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

    Sequence of events: Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais. Hoja ya...
  11. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  12. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini makamu wa Rais awe Mwanamke

    Sababu... 1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba. 2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say, Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
  14. JamiiForums Tanzania Mlengo na ukomavu wa Mama Samia utaonekana kwenye uteuzi wa Makamu wa Rais

    Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la! Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kutabiri anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni tafsiri ya wanasiasa wa Tz kutegemea dola kujijenga?

    Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola. Uimara wa kiongozi utokana na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

    Wakuu, Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho. Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo. Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

    Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja. Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
  18. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

    Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao. Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…