majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  2. JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kuhifadhi dawa majumbani

    Health.
  3. JamiiForums Tanzania Naweza kuwa Wakala wa Gasi za kupikia kwa mtaji huu?

    Wakuu kwema? Samahani wakuu. Mimi Nina mtaji wa 3M naweza kuwa wakala wa kuuza gas za kupikia majumbani na kwenye biashara ndogo ndogo. Utaratibu wake upoje? Na bei zake zinaendaje? Naomba kufahamu kutoka kwenu wenye uweledi na uzoefu juu ya biashara hii. Natanguliza shukran za dhati kwenu.
  4. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendela zinaonyesha kuwa na upweke sana na marafiki zao ni wanyama wa kufuga majumbani

    Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika. Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana. Wenzetu wameona...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nafanya Usafi Majumbani

    Habari, Naitwa Sophia naishi Mbezi beach, Natoa huduma ya usafi majumbani, malipo ni maelewano kulingana na umbali na ukubwa wa nyumba, wasiliana nami kwa namba 0793673652. Asante
  6. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza furniture za maofisini na majumbani kwa gharama nafuu. Tupo Mabibo jijini dar es salaam karibu na chuo cha usafirishaji NIT. 0715 494920

    Karibu sana..
  7. JamiiForums Tanzania Usipite: Hapa unajipatia bidhaa mbalimbali za majumbani na maofisini kwa bei nafuu sana

    Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu. Kwa nini...
  8. JamiiForums Tanzania Fundi rangi za majumbani

    Habari, Natamani nijifunze jinsi ya kupaka rangi za nyumba. Nipeni mwongozo naanzia wapi angalau nianze kama saidia fundi huku najifunza, msiseme veta maana sna pesa ya kujifunzia.
  9. JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Mmea ni majabu ya Mungu kwetu . Mmea hapo kwenye picha : 🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo. 🥬Kikamba unaitwa Ithaa. 🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu. 🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu. 🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao. 🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua. 🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei. 🥬Kihehe huitwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii: Wakati tunawaangalia hawa watoto wa Majumbani; Je tumewasahau hawa wa Kitaa ?

    Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!! Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  12. JamiiForums Tanzania Lifespan ya bati za kuezeka majumbani ni miaka mingapi?

    Wakuu kwanza je hizi bati za kizalendo za kuezekea majumbani zina-expire? na kama jibu ni ndio, Je zina-expire baada ya miaka mingapi?
  13. JamiiForums Tanzania Tunauza picha nzuri kwa ajili ya mapambo ya ofisini na nyumbani

    Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3 Bei ni sh 23000. Contact 017009453 DSM NA MIKOANI TUNATUMA
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

    Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao. Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
  15. JamiiForums Tanzania Urusi yadondosha vipeperushi kwa wakazi wa Kiev, na kuwaonya kuondoka majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga

    Wanaukumbi. Urusi yawadondoshea vipeperushi wakazi wa Kiev, na kuwaonya waondoke majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga.. =============== ⚡️BREAKING Russia drops leaflets on residents of Kiev, warning them to leave their homes or face airstrikes...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Fundi bomba majumbani na maofisini free site visit

    Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
  17. JamiiForums Tanzania Bidhaa za Mapambo ya majumbani kwa bei za jumla/kitonga

    Habarini Wakuu, Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya majumbani kwa. Bei nafuu sana (I mean nafuu sana) hii inaweza kuwa fursa pia kwa wengine watakaohitaji...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini TANESCO wasiruhusu sekta binafsi kusambazia umeme wananchi majumbani?

    Katila jambo ambalo huwa linanifikirisha mpaka leo, ni jinsi ambavyo wateja wanaotaka kuunganishiwa umeme ni wengi sana, lakini Tanesco imeshindwejekuwafikia. Na wale wanaounganishiwa umeme,basi kasi ni ya kusuasua sana, tena wengine ni mpaka watumie njia ya mkato. Hii ina maana Tanesco, pamoja...
  19. JamiiForums Tanzania Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo? Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
  20. JamiiForums Tanzania Fanya haya kila ununuapo mtungi wa gesi ya kupikia majumbani

    - Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako. * Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C * Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…