Ccm inajaribu kuiambukiza nchi siasa za kisanii sana, yaani eti unamwambia mtu asifanye siasa hadi mwaka wa uchaguzi!? Sijawahi kamwe kuelewa mantiki ya jambo hilo.
Nijuavyo mimi siasa ni maisha. watu wanaishi kwa hiyo. Mfano rahisi ni mataifa yaliyoendelea ambapo unakuja mara tu unapoisha...
Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu.
Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote?
2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi.
3. Mbunge wa Arusha...
Vijana wengi wa chadema wenye maono na fikra za kugombea Ubunge, udiwani na Urais walikuwa njia panda kujisogeza majimboni kwao kuanza rasmi harakati za kuwatoa wabunge waliopo.
Nimeona Moto uliowashwa Mwanza jimboni au nyumbani Kwa Pambalu, Ile NI walk-up call Kwa vijana kwenda kwenye majimbo...
Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi mkubwa, wanakosa kabisa ata kukusanya watu 50
Wiki iliyopita Prof Mkenda alienda Rombo kufanya mkutano...
Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao.
Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine, likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe.
Wateuliwa wengi ni wale waliosaliti walikotoka baada ya kuahidiwa vyeo hata kama tabia zao ni za...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.