majimbo

Majimbo (the Swahili word for "regions") is a Swahili term that is commonly used in Kenya to refer to the idea of political devolution of power to the country's regions. It is alleged by critics, including former vice-president Oginga Odinga in his book Not Yet Uhuru, to have been coined by European settlers in Kenya's White Highlands region, around the time of independence in 1963, who preferred to retain an autonomous, ethnically-based governance over the region. It has also been alleged, by some of its critics, that majimbo is a pretext for the type of communal violence that has plagued Kenya's elections especially since the return of multiparty politics. In his autobiography Illusions of Power, G.G Kariuki, a long serving KANU Member of Parliament, goes as far as to allege the existence of a plot to instigate communal violence in Kenya's independence elections by supporters of a Majimbo system of government.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Tuwataje Wabunge waliofanya vizuri kwenye majimbo yao 2020-2025

    Habari wakuu, Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania. Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa wamejaribu kutekeleza majukumu yao huko Majimboni. Mimi wabunge wangu ninaoona walau wamepambana ni hawa...
  2. Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  3. LGE2024 Nilipoambiwa ACT Wazalendo ni chama mamluki nimeamini na ile kauli ya Nchimbi kuwa kuna vyama wameshiriki kuanzisha

    Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi? Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya...
  4. G

    Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  5. Eti Beyonce anatishia kuto-perform katika majimbo yenye ngome kuu za Republicans

    Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
  6. T

    Ni nini Siri ya wabunge wa upinzani haohao kudumu kwenye majimbo kwa miaka.?

    Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile. Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
  7. PreGE2025 LGE2024 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  8. Dodoma: RC Senyamule amempokea rasmi, Mkandarasi wa kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10)

    Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10) ya mkoa wa Dodoma, Mradi unaotarajiwa kutekelezwa...
  9. C

    Hivi kipaumbele cha Viongozi ni kuwapeleka wasanii kwenye majimbo Yao?

    Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
  10. Mwenezi Makalla Ahitimisha Ziara ya Majimbo 10 DSM

    NI KISHINDO JIMBO LA MBAGALA MWENEZI MAKALLA AHITIMISHA ZIARA YA MAJIMBO 10, DSM USHINDI MKUBWA SERIKALI ZA MITAA Katibu wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla na Mlezi wa CCM Kichama Mkoa wa Dar es salam leo amehitimisha ziara yake ya kukagua na kusikiliza kero...
  11. Majimbo Sita yatakayoamua mshindi wa Urais Marekani!

    Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo November. Sita kati ya majimbo hayo-Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania na Wisconsin -...
  12. Shangwe Ayo: Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara

    ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO) TAARIFA KWA UMMA VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu wa ACT Wazalendo watafanya ziara kwenye Mikoa 22 na Majimbo 125 Tanzania Bara kwa ajili ya kujiandaa...
  13. Kilio Cha wabunge kuwa ahadi za maendeleo Kwenye majimbo yao hazitekekezwi, je kinatokana na Kila kitu kudaiwa kimefanywa na Rais!

    Nimekuwa nikifuatilia hoja zinazotolewa Kwenye kikao Cha Bunge kinachoendelea, nilichogundua ni kuwa karibu wabunge wote wanalalamika, kuwa ahadi zinazotolewa na serikali za maendeleo Kwenye majimbo yao hazitekekezwi, au Kwa maneno mengine, wanapigwa changa la macho! Lakini hebu tutafakari ni...
  14. ACT-Wazalendo viongozi wa majimbo kususa kisa uratibu

    Chama cha ACT-WAZALENDO kilianza vizuri katika ujenzi wa chama hasa ngazi juu lakini leo chama cha ACT WAZALENDO kimeshusha madaraka kwa viongozi wa majimbo 264. Majimbo haya 264 ambayo walichagua viongozi 15 ambao wanaunda kamati ya uongozi wa jimbo ambapo baadhi ya nafasi hizo ni: (I)...
  15. Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
  16. Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  17. R

    Wananchi wa Majimbo haya mmeshaandaa wagombea?

    Majimbo yafuatayo hakuna wabunge hadi ila tume ya uchaguzi haiwezi kufanya chochote hadi 2025. 1. Mbeya Mjini 2. Moshi Mjini 3. Kibamba 4. Kawe 5. Nyamagana 6. Ilemela 7. Shinyanga town 8. Kaliua 9. Urambo 10. Sikonge 11. Tabora mjini 12. Majimbo yote ya Mtwara 14. Majimbo yote ya Singida 15...
  18. MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  19. K

    PreGE2025 Ninaishauri serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi

    Binafsi ninaona Majimbo ya uchaguzi ni mengi mno hivyo ninaishauri Serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa ushauri ufuatao: Jumla ya Halmashauri zote katika nchi hii ni 184 basi kwa mantiki hiyo kila Halmashauri iwe na Wabunge wawili yaani Mwanaume moja na Mwananmke moja. Majimbo ya sasa...
  20. R

    Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe. Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…