majiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  2. Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

    TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani. China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
  3. K

    Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

    Kwa observation zangu ni: 1. Kilimanjaro 2. Mara 3. Geita 4. Iringa 5. Songwe 6. Pwani 7. Morogoro NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
  4. Mwanza ni jiji la miamba lililokwamishwa kuwa mwamba wa majiji?

    Ni mji mzuri uliozungukwa na miamba. Wanapaita "Rock City". Hilo ndilo jiji la Mwanza. Nakubali, ni jiji zuri, lakini pangeweza kuwa pazuri zaidi. Kuna maeneo yaliyopangiliwa vizuri, kwa namna bora na ya kuvutia. Lakini kuna maeneo ambayo yanaashiria Mipango Miji walikuwa likizo pindi...
  5. SoC03 Mabadiliko ya tabia nchi: Tufanye nini kuirudisha Eden katika miji na majiji?

    Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto katika nyanja mbalimbali....kilimo, usafirishaji, mawasiliano, viwanda, afya nakadhalika. Yote haya...
  6. K

    Viongozi wetu hamtembei kuona majiji ya wenzetu yalivyoendelea kwa upande wa barabara?

    Mm inaniumiza sana jiji kama la Dar es salaam Tanroads bado ina barabara za tope. Tunapoteza hela nyingi kuchonga na hata uchumi mwingi wa wananchi unapotelea kwenye barabara mbovu. Nimejiuliza swali, hivi viongozi wetu hawatembei kuona majiji ya wenzetu yalivyosheheni barabara nzuri?? Huwezi...
  7. Ni aibu majiji yetu kukosa traffic cameras

    Tupo kwenye Karne ya science na technology, Karne ya information age Karne Ambayo vitu vinatakiwa viende Kwa Kasi. Sasa huwa najiuliza hawa watendaji wetu mbona wamelala usingizi mzito. Ni ushamba au kutokutaka kutimiza wajibu wao. Hawa hawa watumishi kwenye majumba Yao kuna Camera kila Kona...
  8. Ama kweli huu ni mwezi mtukufu.Miji imekuwa majiji

    Miujiza ya Allah ni mingi sana.Moja wapo ni katika huu mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ameujaalia uwe ni ujumbe kwa kila binadamu aliye hai.Si kwa waislamu peke yao ila ni kwa watu wa dini zote. Tangu siku ya mwanzo mwezi unapoanza masoko hujaa wanunuzi.Tulidhani kwa vile watu wanafunga basi kula...
  9. S

    Mapato ya majiji na manispaa yagawanywe kwa asilimia halmashauri za jirani

    Ni ushauri na la kuangalia hili mfano Majiji yana viwanda vingi ,masoko makubwa ,maduka makubwa n.k n.k halafu halmashauri za jirani kushindwa hata kujiendesha kwa kukosa vyanzo vya mapato vya uhakika kwanini asilimia inayopatikana kwenye majiji isigawanywe kwa halmashauri walau kuchangamsha...
  10. Ajali ya Mwendokasi Dar es salaam kule Posta inatukumbusha umuhimu wa Kamera za Mitaani kwenye Majiji

    bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe. Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
  11. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  12. G

    Majiji mengine yote yakiungana yanaweza kuifikia Dar angalau ile ya miaka 20 iliyopita ?

    -Hotels -Makazi -Starehe -Elimu -super markets -n.k
  13. Rushwa, kukosesha Halmashauri, Manispaa na Majiji kipato

    Jamani kuna halmashauri,majiji pesa za serikali zinapigwa si kitoto,wakubwa nao wapigaji huku chini itakuwaje jamani? Nimeita halmashauri moja kanda ya kusini nikasajili kikundi cha wakulima ajabu wenzangu walienda mara2 kufatilia cheti na risiti lakini walikuwa wanaambiwa tutawaletea cheti...
  14. T

    Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
  15. Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

    Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji. Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia. Nyumba zimesambaa kama takataka...
  16. Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  17. Vigezo vya majiji makubwa Kwa mwanamke kuitwa Pisi Kali, vyawekwa wazi Rasmi!

    Wakuu Kwema! Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha! Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika. Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
  18. J

    CHADEMA katika mkakati mzito wa kumgombanisha Rais Samia na Wamachinga katika majiji Makubwa

    CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
  19. Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

    Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile. Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani...
  20. Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…