majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimerudi na majibu ya hosptal

    Vipimo vyangu leo nimeenda hosptal kumpeleka yule mdogo wangu tukaeleza yale matatizo km nilivyoeleza apa baada ya hapo wakampima presha imesoma 122/73,sukari 4.6 ile hali anayoipata kwenye kifua wamesema ni gesi so wametupa dawa tutumie siku 4 then turudi hosptal.ahsant kwa ushauri wenu ila...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bukombe: Walimu wa Sekondari, AJIRA MPYA (2025) hatujalipwa PESA ZA KUJIKIMU

    Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hoja zinahitaji majibu ya hoja si lebo

    Hoja zinahitaji majibu ya hoja, si lebo. Kila jamii inayodai kukomaa kiakili na kidemokrasia lazima ikubali ukweli huu wa msingi. Pale mtu anapouliza swali, anapokosoa sera, au anapoonyesha dosari katika uamuzi fulani, anachohitaji ni majibu yenye mantiki na ushahidi. Kumjibu kwa kumuita...
  5. JamiiForums Tanzania Tunasubiri uchunguzi ilioundwa na raisi(murder) itoe majibu

    Murder anaunda tume ili imechunguzee yeye kwamba watz hatuna akilia au ni vichaa ?? Alietoa amri ya kupigwa risasi ni raisi inakuaje muuaji anaunda tume yakumchunguza maujia yake ilihali anajua kila kitu? Ni vivhaa pekee wataamini hayo majibu ya tume . Mpaka sasa watu hawajapewa maiti za...
  6. JamiiForums Tanzania Majibu ya chakula cha sikukuu za kidini

    Inapendeza watu wanapojibiwa kwa hoja na kuelimishwa https://www.facebook.com/share/v/1DMBkoRUch/
  7. JamiiForums Tanzania Kuna muda nikiwatafakari Walinzi wa karibu wa baadhi ya Marais, huwa nawakosea majibu

    Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana. Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majibu RC Chalamira kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29

    Majibu ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamira Akijibu kuhusu Kuzimwa kwa Mtandao Oktoba 29, Akiongea kwenye mkutano na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo December 05,2025.
  10. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

    SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA. Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya. Jambo kuu: Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali la Leo: Kama ana Majibu Tayari ya kilichotokea wakati wa uchaguzi, Mazingaombwe ya Nini?

    Unajua vitu vingine vinapita kichwani halafu unajiuliza kama vimepita. Kwanini inaonekana kama Samia anatafuta pa kushikilia? Ni kama hajajua mahali pa kutokea.. Au ndio ule msemo wa wahenga..."mfa maji..." Maana amezungumza kama mtu aliyeambiwa mambo mengi kuhusiana na mauaji yaliyotokea...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya mchongo imelazimishwa kuundwa alafu uzinduzi majibu analeta samia mwenye hapo hapo kwenye uzinduzi.

    Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Manara: Nikishaapishwa tu, DAWASA mjiandae kuja na majibu hizi chemba za maji machafu tunafanayaje

    Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo Huku...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya AI kuhusu chanzo kilichopelekea Nyerere aitose Tanganyika kuungwa na Zanzibar na kilichomfanya Karume aridhie

    🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s) Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa: Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari). Kambi ya Mashariki 🇷🇺 – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
  15. JamiiForums Tanzania Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Mnaouliza kama Tz inajeshi , majibu yenu mafwele amewapa

    Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi. Kwa kifupi hata hili jeshi letu ni jeshi mdebwedo, ni jeshi mchelemchele, jeshi lililodhibitiwa na Jasusi la kuzimu Mafwele...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutekwa kwa Hamphrey Polepole, kuna maswali yanakosa majibu kwangu

    Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaopoteza muda wenu kutwa Kuniuliza nipo Single, haya hapa majibu yenu

  20. JamiiForums Tanzania BoT tupeni majibu sarafu ya Tsh 100 imetoweka mtaani

    Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k ila huku tushasahau BOT tupeni majibu Tsh 50, 100, 200 hazionekano kwenye mzunguko
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…