Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo
Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta.
Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)?
Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza,
Ahsanteni.
Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa.
Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa.
Kusoma hoja ya Mdau...
Salaam, Shalom!!
Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote.
Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia Utaratibu wowote kisheria, baada ya kelele na malalamiko mengi Toka Kwa wananchi, imeondolewa bila...
Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani.
Mgeni wetu huyo akatoa ushauri kuwa kama tuna maeneo tufanye mchakato wa kujenga Hospitali...
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5.
Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za uchoraji kwani ninafanya kazi kwa bei nafuu kwa kumjali mteja.
Nikiwa kama kijana ambaye sina ajira...
Utangulizi
Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake.
Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote.
Tupigie au WhatsApp
0759009331
Masaa 24 siku 7 za juma.
Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote.
Tupigie au WhatsApp
0759009331
Masaa 24 siku 7 za juma.
Utangulizi.
Majengo ya hosteli ni miundombinu iliyoundwa maalum kwa ajili ya kutoa makazi kwa wanafunzi. Majengo haya yanaweza kuwa ndani ya kampasi ya chuo au nje kidogo, lakini karibu na chuo.
Kwa ujumla, majengo ya hosteli ni sehemu muhimu ya maisha ya wanafunzi wengi, yanayowapa nafasi ya...
Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo.
Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha Kodi hii halmashauri wakusanyaji wakiwa watendaji wa vijiji italeta vita kubwa sana kwa wananchi wa...
Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea.
Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
Mohamed Kamal Ismail alikuwa mmoja wa watu muhimu nyuma ya upanuzi mkubwa wa misikiti miwili mitakatifu nchini Saudi Arabia.
Msanifu majengo wa Misri, aliyezaliwa mwaka 1908, alichaguliwa na Mfalme Fahd wa Saudi Arabia kusimamia upanuzi wa Masjid al- Haram (Msikiti Mkuu wa Makka) na Masjid an-...
Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina.
Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo...
Wakuu habari zenu.
Nahitaji ramani Kwa ajili ya Apartment za kupangisha.
But kabla ya kupewa ramani nahitaji mhusika afike site ili aone namna ya eneo lilivo.
Site ipo Kiabakari - Musoma, ni vema pia kama mhusika atakuwa mkazi wa maeneo hayo.
PM Iko wazi tufanye kazi Kwa Msanifu majengo...
Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.
Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.
Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika...