majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango ikiwapendeza mjiuzulu haraka

    Ushauri wangu. Hizi nafasi zenu zinaisha ndani ya wiki chache zijazo, mbele ni Giza... Achieni hizo nafasi kama kweli mlikuwa na heshima na Magufuli
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  3. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa

    Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao. Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ? Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
  5. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Elimu ya Watu Wazima ni zana ya maendeleo endelevu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia. ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama. Ameyasema hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa Khasim Majaliwa: PPP imesaini miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53

    == Waziri mkuu amesema kuwa Chini ya Rais Samia, mikataba minne ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) yenye thamani ya shilingi bilioni 681.53 imesainiwa mwaka 2024/25 kwa ajili ya kutoa huduma ya usafiri wa mabasi katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). Mikataba hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu shujaa ndo alipaswa kuongoza Tanzania kwa sasa lakini ametishwa na wahuni

    Wasalaam. Kwa hakika CCM bado kuna watu weledi na wazalendo kuliongoza taifa, lakini wametishwa na kundi la wahuni wakiongozwa na mzee yule aliejilimbikizia mali kwa hila na mikataba mibovu na bado hajashiba anaendelea kuifisidi nchi bila huruma. Mzee yule na genge lake ni sawa na mchwa anakula...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Majaliwa, Mpango hawaendelei, wewe nani hadi ulazimishe?

    Polepole kaanza na kumuwasha mama moja kwa moja! Kauliza kama Majaliwa haendelei na mambo za kugombea, Mpango naye vile vile, sasa yeye nani anayelazimisha kuendelea wakati watu hawamtaki? Team chawa siwaoni, njooni bana mmsaidie kutoa majibu kwa kiboko wa wahuni🤣🤣😂😂
  10. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Tuhakikishe vijana wanapata mafunzo ya ufundi stadi

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo uwanjani kuwasapoti Taifa Stars lakini anaonekana ana mawazo sana

    Imeonyeshwa picha ya PM Majaliwa akiwa uwanja wa Benjamin Mkapa akifuatilia na kuisapoti mechi ya Taifa Stars kwenye mashindano ya CHAN. Anaonekana yu katika lindi la mawazo, amepoa sana. Je ameshindwa ku-move on?
  12. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: ACTIF2025 itoe majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani. Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Majaliwa ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa ACTIF 2025, Grenada

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum - ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025 ambapo alimwakilisha Rais Dkt. Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi

    Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi. Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu watu wanajua hawatakuwepo
  16. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu wa Belarus, Turchin washuhudia utiaji saini Hati Tatu za makubaliano na mkataba mmoja

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka Shada la Maua katika Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa wa Jamhuri ya Belarus. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye masuala ya uwekezaji, biashara, nishati, madini, elimu, afya, teknolojia na...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  18. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  20. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…