majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

    "....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. " Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar. NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtembela Majaliwa ofisi ndogo ya waziri mkuu Magogoni

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo mjini Tunis kwa mkutano wa TACID

    26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
  4. Championship

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Mpango na Majaliwa hawalipi kodi wala tozo yoyote hapa nchini

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa afungua Mkutano Mkuu wa CAF Jijini Arusha, Tanzania

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa CAF AICC Arusha. Mkutano huo umehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Patrick Motsepe.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ikungi tunasema asante Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

    IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha Kumtumia PM Majaliwa Kuelezea Jambo, kwani haeleweki, haaminiki tena na ana 'PhD' ya Kudanganya na Kukurupuka

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini. Majaliwa ameyasema hayo leo Julai 29, 2022 akitoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya...
  8. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Katibu Mkuu ACT, Addo Shaibu Dar

    Julai 29, 2022 Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amezungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam.
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

    Watumishi mjiandae kutega sikio
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Loliondo na Tanga, leo Juni 23, 2022

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

    Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza. Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa January Makamba umesababisha sasa Migodi kuvujisha sumu maeneo mengi hapa nchini

    Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi. Hii ni ngumu sana. Chanzo na tatizo ni January alipokuwa ofisi ya Makamu wa rais Mazingira. Hapa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 2025 tukienda na Kassim Majaliwa, tutaingia Ikulu

    Habari Wana JF, Ukweli ni Ngumu sana kwa Upinzani kuchukua Madaraka ila Kwa sasa kama Upinzani hasa CHADEMA utafanikiwa kumshawishi Majaliwa kuhamia na kugombea Urais litakuwa pigo kubwa ka CCM. Kiongozi huyu ndiye kiongozi pekee mwenye ushawashi na kukubalika na Watanzania kwa Sasa ikiachana...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, ukistaajabu ya Arusha wanaojua ya Tanga wanakushangaa

    Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

    Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli? 👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio Mbona TTB walisema watalii...
  17. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara, kuiwasilisha kwa Rais ambaye ataitangaza hivi karibuni

    UPDATES. TAREHE 23/72022 WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA *Aahidi kuikabidhi kwa Mheshimiwa Rais Samia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais, ikikupendeza irudishe TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu; Waziri Mkuu Majaliwa atakusaidia zaidi ya ulivyo muundo wa sasa

    Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kasim Majaliwa: Sensa itafanyika kielekroni na tuna uhakika litafanikiwa

    Wakuu, nipo Dodoma kwenye kongamano la Tathmini na Ufuatiliaji lililoratibiwa na Tanzania Evaluation Association. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la anuani za makazi limefanikiwa kwa 85% na amesema zoezi la sensa litafanyika kielektronik hadi huko kijjijini. Japo sijaelewa ni namna...
  20. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi. Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia wamesikitishwa na kulia machozi ya damu baada ya kufanyiwa fitina na siasa isiyo na chembechembe ya UTU kwa...
Back
Top Bottom