majaji

Queen Modjadji is the hereditary female ruler and queen of Balobedu, South Africa. She is known to be mythical and historical, and she is believed to have had powers that let her control the clouds and rainfall by bringing rain to her friends and drought to their enemies.
Female rulers were known as “rain queens” or “rainmakers” around this time. Furthermore, she brought rain to the regions of any visitors who offered her gifts and tributes. As a conspicuous figure in South Africa, transforming the clouds was her specialty. She was essentially not a ruler, but a rainmaker. Men relied on her ability for security, as she would provide rain for her town’s tribe as a shield.
The Lobedu (Lovedu) tribe believed that the queen exercised some general control over their seasons, and thus, she was held accountable for the effects of the rain conditions. She also had a team of assistants.
The queen also functioned as a ritual doctor who made medicines. The rain medicines were stored in earthen pots in a secure part of the village. Her reputation spread from Zambezi to the Southern Ocean as having medicines for all people, including medicines that made warriors invincible by crippling their enemies.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  2. JamiiForums Tanzania Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  3. JamiiForums Tanzania Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

    Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
  4. JamiiForums Tanzania Majaji 10 wameteuliwa na mahakimu 91 wameajiriwa

    MAJAJI 10 WAMETEULIWA NA MAHAKIMU 91 WAMEAJIRIWA Katika kuongeza kasi ya utendaji kazi, Mahakama imeendelea kuongeza idadi ya Maafisa Mahakama. Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025 jumla ya Majaji 10 wameteuliwa (Mahakama Kuu – 5 na Mahakama ya Rufani – 5) na hivyo kufanya idadi ya Majaji waliopo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

    Habari wakuu Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
  6. JamiiForums Tanzania Majaji wa mchezo wa ngumi wanachangia kuufanya mchezo huu kupoteza mvuto hapa nchini

  7. JamiiForums Tanzania Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

    Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki. Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
  8. JamiiForums Tanzania Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

    Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa nchini. 1. Kulipiwa nyumba Grade A, 2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi), 3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege, 4. Posho ya mavazi. NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kapteni Traole apiga marufuku Majaji nchini Burkina Faso kuvaa Mawigi yanayofanana na Majaji wa Ulaya

    Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré amepiga marufuku majaji kuvaa mawigi yanayofanana na mitindo ya kikoloni ya Uingereza na Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuondoa athari za ukoloni kwenye mfumo wa mahakama wa taifa hilo. Mawigi hayo yalianzishwa na wakoloni kama sehemu ya mavazi rasmi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mganga Mkuu kasimamie mambo ya milipuko, Nchi iwe salama

    https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025. Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino...
  11. 1

    JamiiForums Tanzania Majaji na Mahakimu nyie hamuwezi kujitetea mahali popote dhidi ya mashambulizi ya Mawakili, tafadhali tumieni rungu lenu kwenye Sheria ya Mawakili

    Majaji wa Mahakama Kuu ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya Wakili, Jaji anaweza kumchukulia hatua za kinidhamu Wakili kwa kukiuka sheria ya uwakili The Advocates Act, siku hizi Mawakili wakishindwa hoja mahakamani wanatoka nje na kulaumu mahakama kuwa imekosea ili wananchi tuamini kuwa mahakamani...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea nikawa na mamlaka, nitaivunja High court na kuiunda upya na majaji toka nje

    Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence Why? 1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment. 2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Majaji in particular, na wataalamu wengine, wanachagulia kwa vile kuna uhaba wa wataalamu hao au kwa vile wana sifa?

    Nilimsikia Lisu akisema kama tungelikuwa na utaratibu wa kuwachagua MAJAJI , basi ni majaji wachache sana na majaji wa Rufaa wangelikuwa katika ofisi hizo. Mana yake to me ni kuwa no meritocracy is applied katika kuchagua majaji/majai wa Rufaa hao na wataalamu wengine!
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je Majaji na Mahakimu wanazingatia Hili -Mens rea

    mens rea Dictionary Definitions from Oxford Languages · Learn more noun Law the intention or knowledge of wrongdoing that constitutes part of a crime, as opposed to the action or conduct of the accused. "a mistaken belief in consent meant that the defendant lacked mens rea"
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha akutwa na hatia kwa Madeni Yaliyofichwa, Majaji wa New York kutoa Hukumu

    Madeni Yaliyofichwa: Majaji wa New York wampata waziri wa Mozambique na hatia Paul Fauvet 2024-08-09 dk 5 kusoma New York, 8 Ago (AIM) - Jopo la majaji katika mahakama moja mjini New York siku ya Alhamisi lilimpata Waziri wa Fedha wa zamani wa Msumbiji, Manuel Chang, na hatia ya kula njama ya...
  17. JamiiForums Tanzania TLS ya Mwabukusi: Anza na Haya: Majaji Wanaoharibu Kesi na Ucheleweshaji wa Kusikiliza

    1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI. Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema "mlalamikaji/ mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kwenye Mahakama ya juu" Mfumo wa kutengeneza rufaa...
  18. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi "Wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Bondia Larry Holmes: Ken Norton alinipiga ingawa majaji walinipa Ushindi

    Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk. Mwaka 1978, Leo Spinks akiwa ameshinda taji ya WBC kutoka kwa Mohamed Ali, aligoma kupigana kama...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Bondia Larry Holmes: Ken Norton alinipiga ingawa majaji walinipa Ushindi

    Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk. Mwaka 1978, Leo Spinks akiwa ameshinda taji ya WBC kutoka kwa Mohamed Ali, aligoma kupigana kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…