Queen Modjadji is the hereditary female ruler and queen of Balobedu, South Africa. She is known to be mythical and historical, and she is believed to have had powers that let her control the clouds and rainfall by bringing rain to her friends and drought to their enemies.
Female rulers were known as “rain queens” or “rainmakers” around this time. Furthermore, she brought rain to the regions of any visitors who offered her gifts and tributes. As a conspicuous figure in South Africa, transforming the clouds was her specialty. She was essentially not a ruler, but a rainmaker. Men relied on her ability for security, as she would provide rain for her town’s tribe as a shield.
The Lobedu (Lovedu) tribe believed that the queen exercised some general control over their seasons, and thus, she was held accountable for the effects of the rain conditions. She also had a team of assistants.
The queen also functioned as a ritual doctor who made medicines. The rain medicines were stored in earthen pots in a secure part of the village. Her reputation spread from Zambezi to the Southern Ocean as having medicines for all people, including medicines that made warriors invincible by crippling their enemies.
Kama wamepewa maagizo, itabidi waandike wakubwa wanavyotaka ambayo itakuwa ni " maafa" kwa professionalism yao.
Wafanyeje waepuke kadhia hii?
Maana hakuna ushahidi, pale ni ujinga wa watu kula posho! How do you convict Lisu from such evidence?
Time will tell!
Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na
Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Inaonyesha hutuna tena mfumo ulio huru KUSIMAMIA haki za raia wa nchi hii Kwa uhuru
Hii ni hatari kubwa sana kwa taifa lolote duniani lisilokuwa na mifumo imara ya kutetea haki za raia wake
Siku itakapofika Kila raia aanze kutetea haki yake mwenyewe litakuwa jambo la kutisha sana
Nchi haiwezi...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi...
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu..
Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi.
Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?.
Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
Sifa kubwa ya uwepo wa Mahakama, NAMBA moja with exclusivity of any other factors, ni INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY
Hiyo sifa hapa TZ hatuna. Hivyo hakuna mahakama.
Kuna kusanyiko la wahuni wanatoa kinachokuja kichwani mwao kama so called Hukumu!
Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao..
Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,?
Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
Nadhani majaji walioteuliwa toka ofisi ya mwanasheria mkuu, au ofisi ya DPP, ndio wanaoharibu sifa za mahakama yetu.
Kwa mfano, usije shangaa Nassoro Katuga akauteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. Jaji mwenye background hiyo akiwa mahakama kuu ataendeleza tabia chafu za huko alikolelewa kitaaluma.
Binafsi ninawatakia amani kwenu Majaji wote na mahakimu wote wa mahakama zetu na mabaraza yote ya haki nchini.
Amani, baraka na afya tele viweke makazi kwenu mmoja mmoja iwapo mnakidhi bila kupunguza hata moja katika haya yafuatayo:-
Meza yako inatoa hukumu ya haki
Hauruhusu mahakama yako...
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.
Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
Heshima ya Majaji Tanzania imeshuka kwasababu ya kuteuliwa kisiasa majaji wa zamani walikuwa kati wa watu wanao heshimiwa Tanzania
Jaji Nyalali
Jaji Munuo
Jaji Chipeta
Jaji Chuwa
Jaji Mrosso
Jaji Chande
Jaji Ramadhani
Jaji Warioba
Muhula wa mwisho wa Kikwete mpaka sasa wamekuja majaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.